Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,731
- 749
cdm inafaidika zaidi kwenye haya matawi ya nje, wanachama wapenda mabadiliko wanapata wasaa wa kuchangia m4c kwa hali na mali. ccm wanaiga, na hasa hawa ccm diaphora sana sana wanajipendekeza kwa ccm kupata ulaji.
ballali alikuwepo.???
Hapo kakosekana Le mutuz... tu
Asanteni jamani kwa picha zinazoonyesha wazi, "Mfa maji haachi kutapatapa"
Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!
ballali alikuwepo.???
Ulaji wa Taifa la Tanganyika huo... Mapesa ya MADINI na GAS yananenepesa Wana DMV...
Waache tu wasigombane wakaitiana MAPOLISI...
Mbogo - 1 utaliwa siku moja na mnyama mkali M4C ni kama mfamle ndani ya nyika!!!!hivi kwa nini magwanda huwa hamkubali ukweli,bora hata ccm wameweka picha kuliko lema ambae ulikuwa usanii mtupu
Hivi Marekani ni Ulaya nilikuwa sifahamu tunashukuru kwa kutufahamisha.
upo dunia ipi? mpaka sasa hufahamu Sugu alikuwa nana na sasa?
:yawn: KUMBE WENGI SIO WATZ. :nerd: NILIDHANI NA HAO WANAWAKE WALIKAA UCHI NI WATZ. DU! :sleepy:WAGENI NI WENGI, CHEKI NA HILO DUME LA MBEGU LILILOVAA HERENI, NILIDHANI NA YEYE NI MTZ. :shut-mouth: mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
watu wengi walitia fitna kwamba hili jambo halitafanikiwa.. mkutano hautakuwa na watu! wana DMV hawana umoja!.. sasa wametahayari...
watu wengi walitia fitna kwamba hili jambo halitafanikiwa.. mkutano hautakuwa na watu! wana DMV hawana umoja!.. sasa wametahayari...