Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mafuriko TN capital city, Nashville

Mafuriko huko Texas nchini Marekani
Kwa kutalii kuona na wengine duniani wanavyoathirika na mafuriko tusifikirie sisi tu, pengine wengine ni zaidi ya tunayapata sisi, jambo la msingi tuache kulalama kana kwamba tunaonewa sisi tu na kuona kama ni kosa la serikali, je katika nchi kama Marekani hayo ni kosa la serikali au ni tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa ambayo ni tukio la msimu tu si la kudumu. Nyumba binafsi unapojenga matokea ya mafuriko au hali ya hewa ieleweke kitakachotokea wasemavyo wazongu "your own risk" ndio maana hata bima haina nafsi kwa majanga kama haya po pote duniani.





