ccm mbele kwa mbele.....huo sio mkumboWatu wengine huwa wanafuta mkumbo, hawana mda wa kupima hoja za wagombea wao tayari wana vyama vya . yaani Akili zao wameshikiwa na vyama vya siasa
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza
Hata kama baadhi hatuipendi cdm lkn ukweli utabaki kweli . Mwanza ilikuwa imependeza.lkn sera ndoo zero.kwa watu walikuwepo wakutosha haswa
Kama Lowasa imekuwa hivyo, Magufuli akienda si itakuwa balaa.
View attachment 297964 Raha ya Peremende View attachment 297964
Jambazi sugu litatumia kila mbinu lakini limenoa khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kazi yao kudanganya wajing. Phew!
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa
Umewai muona nyumbani kwako akifanya ujambazi?Tibaijuka aliwaambia 10ml niya mboga tu sasa anagombea ubunge
ahaaaaaaa aibu yako mm pombe akija mwanza akapata watu kama hawa nahama mkoa
Jamani jamani jamani, mimi na washikaji zangu 5 tuliamua kutembea tokea Capri-point mpaka Furahisha, kusema ukweli lowassa ndiye raisi yani tumekanyagana mpaka tumepotezana na washikaji jinsi kulivyokuwa hakuna nafasi hata ya kupishana, ikabidi mimi na washikaji 2 twende Villa Park nako kumejaaa watu ni lowassa lowassa, simu zangu ziliiishiwa charge ndio kwanza naziwasha hapa nimeomba washikaji wanitumie picha mjionee wenyewe, ukawa cha muhimu ni kulinda kura tuu raisi ni lowassa, MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI LOWASSA