Picha tu: Lowassa Mwanza

Picha tu: Lowassa Mwanza

Hawachelewagi kusema hapo ni USA Obama akifanya kampeni zake! Ila madhari na rangi ya watu itawaumbua
 
Hata kama baadhi hatuipendi cdm lkn ukweli utabaki kweli . Mwanza ilikuwa imependeza.lkn sera ndoo zero.kwa watu walikuwepo wakutosha haswa
 
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa

Mimi nasikia walikuwa watu 50 tu!!!!!!!!! Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Siku zinavyozidi kwenda utahamia ukawa ..karibu Sana

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Mbeya tunasema tunamsubiri kwa hamu sana Mhe E Lowassa na tutafunika mafuriko ya Mwanza na Tanga
 
Ebu kumbe watu wako humu kweli mnalipwa na akili zenu siyo nzuri kabisa ebu ww unayesema hapo si mwanza hauna aibu watu tuliokuwepo tunakuona haujielewi ni bora ukawambia hao babu zako ccm ili wajue nini cha kufanya.
 
Angalia basi taarifa ya habari hadi watu wa red cross wanasema hawajawahi kuona wingi wa watu km huu. Ww unasema si kweli?
 
Watu wengine huwa wanafuta mkumbo, hawana mda wa kupima hoja za wagombea wao tayari wana vyama vya . yaani Akili zao wameshikiwa na vyama vya siasa
 
Kwa kuongezea ni kwamba UKAWA mnafanya promotion ya awareness ya afya yake tu

Vipi kwema? naona unaona maruweruwe adi unajiquote mwenyewe kama umepigwa ngumi ya uso tuliza kalio sindano ipenye wewe usije ukaleta shida.
VIVA UKAWA!!!!!
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:

Mkuu vipi unataka turudie ligi yetu ya kwenye msiba Wa bilionea Wa Arusha ???
 
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa

acha ubwege ww unabishana na taarifa ya habari ? Nakukumbusha 2 hata huku ukerewe mafuriko hayakuepukika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom