Picha tu: Lowassa Mwanza

Picha tu: Lowassa Mwanza

Kama Lowasa imekuwa hivyo, Magufuli akienda si itakuwa balaa.
 
Hizo picha ni za leo kabisa tena huyu mpiga picha hakuchukua sawasawa mimi nilichokuwa nakitazama kutokea Villa pack ni hatari
 
hapana jamani tusemeni tu ukweli hapo sio furahisha asee,,, na hivi kusema huu uongo inasaidia nini? najua ni kweli alileta mafuriko pale furahisha lakini kwani ni shilingi ngapi kuweka picha za ukweli ndugu mtoa mada?
 
Kama Lowasa ni hivi, Magufuli akienda si itakuwa balaa.
 
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa
we binti tulia na legeza makalio ili mtalimbo upenye...onyesha picha yako yenye hao watu miambili!!
 
Sasa mkusanye picha za mikutano yote vizuri, mtengeneze posta za kutosha ili zibandikwe pale Monduli (home kwa mzee) ili mzee awe anajiliwaza kwa kuziangalia baada ya tar 26.
 
Duh bila dimondi dah dah hatari saba

attachment.php
 
Hapo siyo mwanza,ingawa kweli mkutano wa chadema ila narudia tena hapo siyo Mwanza

Mama hiyo ndo na kwa taarifa yako huu mkutano umevunja rekodi ya ule wa CDM na Lowassa kutafuta wadhamini Mwz. Na ni kuambie CCM hatawakisomba na treni hawezi kupata hiyo Nyomi
 
hao ni watu au ni SISIMIZI? mbona watu ni wengi sana?
 
Kadri watu wanavyozidi kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya Edo ndiyo kadri wanavyozidi ku confirm kwamba jamaa ni dhaifu ki afya na kihoja na ndiyo kadri wanavyo kuwa alert kwamba wasimpigie kura.
 
Hahahahahaha uwongo mimi nopo hapa nyamagana hakuna kitu kamahicho watu ni wachachee kweli hata 200 hawafiki teh teh teh viva lowassaaaaàaaaaa

Hata aibu huna.. unadanganya kweupeeeee
 
Hata sehemu nilipokuwa nimekaa hata sijapaona

Leo tulikuwa wengi kushinda siku lowasa kujitambulisha

Sina mengi
 
Kadri watu wanavyozidi kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano ya Edo ndiyo kadri wanavyozidi ku confirm kwamba jamaa ni dhaifu ki afya na kihoja na ndiyo kadri wanavyo kuwa alert kwamba wasimpigie kura.

Kwa kuongezea ni kwamba UKAWA mnafanya promotion ya awareness ya afya yake tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom