PICHA toka viota vywa burudani

Wakuu hawa sio wacheza show? Mbona mavazi ya aina moja? Na walikuwa kiwanja gani?
 
moz-screenshot.png
moz-screenshot-1.png
Hawa kuku wa kienyeji inaonekana ni ma-stage show fulani, ukiangalia baadhi ya mavazi yao ni jezi za kazi! Tazama hao waliokumbatiana, hasa mwenye jezi ya rangi ya Chama Cha Mafisadi na ile picha ya mwishi ni mtu mmoja na yuko kusaka mahela! Hayo ndo Maisha bora kwa kila mbongo!
 
Watu na akili zao wako kazini bana,na wengine wananikumbusha enzi zile za rangi ya FANTA,koe mweupe visigino vyeusiiii
 
Back
Top Bottom