PICHA: The Citizen na kingereza kibovu

PICHA: The Citizen na kingereza kibovu

After speaking English the whole day Tanzanians gets headache indeed! Use swahili for your mental and physical health!
 
Hiv kwanin msiandike kiswahili tuu.manake hicho kizungu kimewashinda.hamkiwezi
 
Iyo let's ni short form ya let us and it is grammatical correct
Mkuu mezakuu, naomba tukubaliane kutokubaliana! Hii lugha ililetwa na merikebu bwana siyo ya kwetu. Maana tumezoea ukishaweka apostrophe neno litakuwa linaonesha ama "Umiliki wa kitu" au ufupisho wa "is" mfano wa hayo maneno ni kama "that's = That is why, it's = it is, he's = he is n.k. Hiyo ya ufupisho wa "Let us" hata kama ipo itakuwa inatumika kwa mara chache sana ni funny kuandika ufupisho wake!
 
this language is very very not easy to know, if you are wanting to know and speak good engilish you must practizing talking and reading many books and novels and also you listening to english broadcast by bbc and cnn so as to become a very competitor loudspeaker of english. ..
msinicheke jamani na mimi najifunza
Hahahaha,aisee leo burudani kweli
Maana watu wameamua kufanya kusudi sasa
 
Ninachokiona hapo ni errors na UZEMBE wa Mhariri! Nilitarajia kuona paragraph iliyojaa Kiingereza cha hovyo... kumbe ni wrong tense kwenye title?!
 
Nadhani yeye kamuwakilisha msemaji mwenyewe
 
Ndio gazeti pendwa la balozi wa uingereza hili
 
Ninachokiona hapo ni errors na UZEMBE wa Mhariri! Nilitarajia kuona paragraph iliyojaa Kiingereza cha hovyo... kumbe ni wrong tense kwenye title?!
Ndio gazeti pendwa la balozi wa uingereza kila asubuhi
 
Back
Top Bottom