PICHA: The Citizen na kingereza kibovu

PICHA: The Citizen na kingereza kibovu

Ha ha ha kuna section humo kuwaumbua wenye kiingereza kibovu magazetini. Abdi Sultan huwa anawaumbua hata wenzie wa Citizen.
Na yumo hata leo naamini atawakosoa mabosi zake maana mle kwenye safu yake huwa analikosoa citizen pia
 
Huenda lakini kwa print media kosa moja kwa msomaji linahesabika ni ukosefu wa weledi na ni uzembe, kwa sababu kila gazeti lina proof reader hakuiona hii?
Labda proofreader alikuwa ameshagonga "Kitwanga" zake kadhaa kabla ya kuingia kazini
 
One word which was left out has rendered this sentence to be out of grammar. The word is "start" and the sentence should have read "let's start promoting science and peace in Tanzania". Alternatively use the word "begin".

TE="N'yadikwa, post: 18371864, member: 239742"]Jitahidini muandike kiingereza safi sio kama hiki
64bd047570c40baddaec2704ac677095.jpg
View attachment 430074View attachment 430074View attachment 430074
Onlu[/QUOTE]
Au angeandika promote.
 
hyo katuni nayo inasemaje?
Hio katuni imeandikwa 2016 upande aliosimama JPM ila alipo mwananchi opposite side inasomeka 9102, sasa JPM anamuuliza huyo mwananchi husomi namba 2016? Mwananchi anasema mimi naona 9102!
 
Hio katuni imeandikwa 2016 upande aliosimama JPM ila alipo mwananchi opposite side inasomeka 9102, sasa JPM anamuuliza huyo mwananchi husomi namba 2016? Mwananchi anasema mimi naona 9102!
hcho kiinglish nacho kimenyooka?
 
Ngoja tu huo mswada ufanikishwe maana tayar wana proof ya baadhi ya vipengele kupita...

Waandishi wasipo kuwa weledi ndo chanzo cha mitafaruku yote duniani lakini pia wakiwa weledi ni chanza cha manufaaa huku duniani
 
.bona hata kiswahili kinakosewa sana tu, sembuse kiingereza lugha iliyokuja kwa meli?
 
One word which was left out has rendered this sentence to be out of grammar. The word is "start" and the sentence should have read "let's start promoting science and peace in Tanzania". Alternatively use the word "begin".

TE="N'yadikwa, post: 18371864, member: 239742"]Jitahidini muandike kiingereza safi sio kama hiki
64bd047570c40baddaec2704ac677095.jpg
View attachment 430074View attachment 430074View attachment 430074
Onlu[/QUOTE]
Not only that, kosa jingine lipo kwenye hilo neno la kwanza "Let's" Hata kama angeandika "Let's start promoting ....." ingeendelea kuwa out of grammar. Ukishaweka apostrophe neno linakuwa na maana nyingine kabisa. Kwa mfano hilo neno "Let's" linakuwa "Let is" au wakati mwingine huonesha possession, sasa hiki kiinglish cha wapi?
 
Typographical error.Enough said.
 
Ze inglish izi noti awa maza tangi zati izi hwai wi sipikingi brokeni

Bati ifu yu want tu kolekti az jasti du iti
 
Hakuna tatizo hapo,lugha ipo sawa kabisa.Tujifunze kutafiti kwanza na kusoma VITABU vingi.
 
Back
Top Bottom