PICHA: The Citizen na kingereza kibovu

PICHA: The Citizen na kingereza kibovu

One word which was left out has rendered this sentence to be out of grammar. The word is "start" and the sentence should have read "let's start promoting science and peace in Tanzania". Alternatively use the word "begin".

TE="N'yadikwa, post: 18371864, member: 239742"]Jitahidini muandike kiingereza safi sio kama hiki
64bd047570c40baddaec2704ac677095.jpg
View attachment 430074View attachment 430074View attachment 430074
Onlu[/QUOTE]

au labda alitaka andika

"Let's promote..."

sijaweza soma yaliyoandikwa baada...u busy.
 
Hahaha,aisee leo Monday yangu imeamka na vunja mbavu ile mbayaaa
Hahaha,JF ni balaaaa,watu wanaunganishia mivunjiko Language ya maana,tehetehe
Don`t nigambire Sutupid infront of my Honey
 
A single grammatical mistake is not enough to justify that the writers of that newspaper are incompetent in the use of English language. At least use more than one evidence to highlight the recurrence of those blunders. (Efffffffff....hii lugha bhana, yana nilivotumia muda mwingi kuandika hizo sentensi mbili!)
 
this language is very very not easy to know, if you are wanting to know and speak good engilish you must practizing talking and reading many books and novels and also you listening to english broadcast by bbc and cnn so as to become a very competitor loudspeaker of english. ..
msinicheke jamani na mimi najifunza
 
Jitahidini muandike kingereza safi sio kama hiki.
64bd047570c40baddaec2704ac677095.jpg
Naona mhariri na mleta mada wamesahau kuwa Jumamosi iliyopita sheria ya habari imepitishwa bungeni na mukulu kaisani usiku huohuo hivyo wajiandae kutuzindulia matumizi yake!!!!!!!
 
The language English is good ,the problems is you him you not the english language,not say the write of the magazine
Yes because language is not understanding to theirs the magazine confusion the promoting of peace of democracy in Tanzania limited. This will rest in peace the language of Tanzania used in the front page of Jamiiforums FM.
 
Nakupendaga ONDO, post: 18371916, member: 20710"]Ha ha ha kuna section humo kuwaumbua wenye kiingereza kibovu magazetini. Abdi Sultan huwa anawaumbua hata wenzie wa Citizen.[/QUOTE]
Naipendaga sana ile kila jpili
 
Not only that, kosa jingine lipo kwenye hilo neno la kwanza "Let's" Hata kama angeandika "Let's start promoting ....." ingeendelea kuwa out of grammar. Ukishaweka apostrophe neno linakuwa na maana nyingine kabisa. Kwa mfano hilo neno "Let's" linakuwa "Let is" au wakati mwingine huonesha possession, sasa hiki kiinglish cha wapi?[/QUOTE]
Iyo let's ni short form ya let us and it is grammatical correct
 
Muswada ushapitishwa kule, hatutavumilia kidhungu kibovu kama hicho! Tutayapiga pin fasta
 
One word which was left out has rendered this sentence to be out of grammar. The word is "start" and the sentence should have read "let's start promoting science and peace in Tanzania". Alternatively use the word "begin".

TE="N'yadikwa, post: 18371864, member: 239742"]Jitahidini muandike kiingereza safi sio kama hiki
64bd047570c40baddaec2704ac677095.jpg
View attachment 430074View attachment 430074View attachment 430074
Onlu[/QUOTE]
Au nauliza akiandika promote instead of promoting. ingefaa pia????
 
Dah...Hilo ndiyo kosa la kwanza la kiingereza kwa mwaka huu.......mbona kuna makosa kibao ya Kiswahili kila siku lakini hamuyaoni?? Mnajifanya mnajua sasa kiingereza lakini kufikiri mnatumia lugha za mama zenu😎😎😎😎
 
One word which was left out has rendered this sentence to be out of grammar. The word is "start" and the sentence should have read "let's start promoting science and peace in Tanzania". Alternatively use the word "begin"...

Au ingekuwa hivi: ''Let's promote (NOT PROMOTING) Science and Peace in Tanzania''

Sijui na mimi nimechapia? msinitupie mawe wakuu. Na mimi nimesomea chemistry technical school tangu form one mpaka PHD kama mkulu wetu....englishi iz noti awa prioritee
 
Ndiyo yaleyale ya "income of their source". Byee tu. Watu wanaelewa hata bungeni.
 
Back
Top Bottom