PICHA; Taswira mahakama kuu leo!!

PICHA; Taswira mahakama kuu leo!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765
wafuasi+wa+Chadema+baada+ya+hukumu.JPG

Makongoro+Mahanga+akizungumza+na+waandishi+wa+habari+baada+ya+kusomwa+kwa+hukumu+ya+kesi+ya+kupinga+matokeo+ya+uchaguzi+katika.jpg

Makongoro+akiwapungia+mkono+wafuasi+wa+CCM.JPG

akipongezwa+baada+ya+kusomwa+hukumu.JPG

mpendazoe+baada+ya+hukumu.jpg

Baadhi+ya+wafuasi+wa+Chadema+wakiwa+nje+ya+jengo+la+Mahakama+Kuu+Kitengo+cha+Biashara+ambapo+kesi+hiyo+ilitolewa+hukumu+yake.J.jpg


Naona leo michuzi kaziwahisha sana!!
 
huyu mshikaji anachafua ukoo wa baba wa taifa
 
ni lini mahakama zetu zitakuwa huru?
Wakati mwingine tujitahidi kuwa neutral, yaani mahakama zinakuwa siyo huru pale tu anaposhindwa wa CHADEMA, lakini tukishinda, tunapongeza na wala hatuna habari ya kujua kesi ilikuwaje. Kwa wengi tusiyejua sheria, nafikiri ni vema kuwa wapole na kuwasikiliza wataalamu wa sheria juu ya makosa ya kiufundi yaliyofanyika ama katika ufunguaji wa kesi au utaratibu mzima wa uendeshaji kesi.
 
kwa mwenendo wa kesi ulivyo kuwa, siamini kama maamuzi ni ya haki
Wakati mwingine tujitahidi kuwa neutral, yaani mahakama zinakuwa siyo huru pale tu anapondwa wa CHADEMA, lakini tukishinda, tunapongeza na wala hatuna habari ya kujua kesi ilikuwaje. Kwa wengi tusiyejua sheria, nafikiri ni vema kuwa wapole na kuwasikiliza wataalamu wa sheria juu ya makosa ya kiufundi yaliyofanyika ama katika ufunguaji wa kesi au utaratibu mzima wa uendeshaji kesi.
 
... Naaam, Freedom is coming soon to our Justice system in the country. Walalahoi kote nchini wala msifadhaike kitu hivi leo.
 
Katika vyama bora nchi hii ni CCM hongera sana Mahanga.........CDM imekula kwao.
 
Haya mambo ni ya muda tu; things are going to turn out very soon it's a matter of time.
 
Yaani ni kheri angeshnda Aesh WA Sumbawanga kuliko huyu Mahanga si alikamatawaga na mabox ya kura uyu au vyombo vya habari vilitudanganya?
 
Katika vyama bora nchi hii ni CCM hongera sana Mahanga.........CDM imekula kwao.

una njaa kubwa sana mzee wa njaa! tena njaa ya kujitambua! naa amini wewe ni mzee. ahhhhhhhhhhhhhhh
 
HAKUna aliyeshindwa wala aliyeshinda mi naamini mahakama za Rufaa kuliko hizi mahakama ambazo anakaa mtu mmoja wale wengi ndio watanionyesha haki na uwezo wao wa kufikiri bila Bias
 
Back
Top Bottom