Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Pulling ipo mbele pia nyuma Kuna mzigo wa mbao za kutoshaSasa hapo ukipiga rivasi unatembea zakšµiii
Mtaloni ni nini?mtaloniš
Ni viazi vya kuchemshaMtaloni ni nini?
Sawa SAWAJaza tofali apo gari itoke
Hapo linatoka tena bila shidaKaambiwa weka gari pale kaweka mtaloniš
Linatoka zinalazwa mbao tairi la nyuma dereva anakanya mafuta reverse chuma inatoka bila shidaJaza tofali apo gari itoke