PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

menelik

Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
6
Reaction score
5
Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume,
Akutwa na silaha hizi

attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • IMG-20140803-WA0001.jpg
    IMG-20140803-WA0001.jpg
    57 KB · Views: 29,172
  • IMG-20140803-WA0002.jpg
    IMG-20140803-WA0002.jpg
    69.9 KB · Views: 33,709
Ni mipango ya ccm tu, mbona hawakumtilia shaka hapo kabla alipokuwa waziri na mwakilishi? ni chuki za ccm tu, mbona hawajaenda kumpiga search balozi seif ali iddi? Steven wassira? Mohd Abud nk?

Ni njama za ccm kujaribu kutaka kumdhoofisha lakini Wazanzibari tumemkubali 2015 mbele kwa mbele, ccm inayumba sasa njia zote zimekwisha bado tunao usiku na mchana.
 
Silaha sioni shida kukutwa nazo, sasa hizo risasi nyingi hivyo anakuwa nazo kwa kazi gani hasa??
 
Kaka sijaelewa hebu nifafanulie kidogo, kwamba ccm ndio wamekwenda kumuekea hizo silaha ndani mwake au??
 
Silaha sioni shida kukutwa nazo, sasa hizo risasi nyingi hivyo anakuwa nazo kwa kazi gani hasa??

Ni uongo tu ni mambo ya kupanga tu ccm wameishiwa mbinu wanajaribu kuwatumia inteligencia wao kubuni mbinu za kudhoofisha mapambano, ngoma imebana 2015 wanaachia tu
 
Mansoor himid,aliyewahi
kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia
ni shemeji wa rais karume,
Akutwa na silaha hizi

Ni mwanzo mzuri. nina imani kama watasachi na kwa Kindovu watapata makontena ya silaha.
 
Wanahangaika tututoa kwenyr katiba mpya...

Magambaz
 
Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume,
Akutwa na silaha hizi
mansoor alikua ccm jina moyo wake cuf na amani karume hawezi kuepuka lawama ya huyo shemeji yake kuyumbisha nchi kuhusu suala la mafuta.
 
Ni uongo tu ni mambo ya kupanga tu ccm wameishiwa mbinu wanajaribu kuwatumia inteligencia wao kubuni mbinu za kudhoofisha mapambano, ngoma imebana 2015 wanaachia tu

Kama anamiliki kihalali sidhani kama ni shida na kama riasi alipata kihalali pia sio tatizo. Mimi sijawahi ona polisi wakiwa sana strict mtu anapokwenda kuomba kibali cha kununua risasi zaidi ya kumweleza aonyeshe licence ya kumiliki Silaha.
 
ana duka la silaha au!jamani angalieni magaidi ni pamoja na viongozi wetu!
 
Mansoor himid,aliyewahi kuwa mwakilishi na wakati flani waziri asiyekua na wizara maalum na pia ni shemeji wa rais karume,
Akutwa na silaha hizi

Beleshi la dhahabu la mkapa lipo wapi?mrema alikamata dhahabu uwanja wa ndege zilikua za vigogo zipo wapi?silaha za kivita alizokua nazo Adam Malima zipo wapi?
 
Ni mipango ya ccm tu, mbona hawakumtilia shaka hapo kabla alipokuwa waziri na mwakilishi? ni chuki za ccm tu, mbona hawajaenda kumpiga search balozi seif ali iddi? Steven wassira? Mohd Abud nk?

Ni njama za ccm kujaribu kutaka kumdhoofisha lakini Wazanzibari tumemkubali 2015 mbele kwa mbele, ccm inayumba sasa njia zote zimekwisha bado tunao usiku na mchana.

Nyie chekeni na magaidi tu, mtauona moto wao na upumbavu wenu wa kuchanganya siasa na uamsho utakwisha ghafla, boko haram wakubwa!
 
Kihistoria huyu ni mjukuu wa aliyekuwa mwanzilishi wa Hizbu, na kwa siasa za visiwani, hata kama alikuwa hajazaliwa basi na yeye ni hao hao.
 
Beleshi la dhahabu la mkapa lipo wapi?mrema alikamata dhahabu uwanja wa ndege zilikua za vigogo zipo wapi?silaha za kivita alizokua nazo Adam Malima zipo wapi?

Ni bora ukaanzisha uzi mwingine; you are off topic ndugu.
 
Back
Top Bottom