Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 625
- 1,334
Blackhatworld ina watembeleaji 3M kwa mwezi - hapa ndipo utakuta wajanja wote(website developers)/ SEOItakuwa hao blackhat ndio wamecopy jf!!
Hapa umenenajF, blackhatworld na community forums nyingine nyingi duniani zinatumia XenForo
so features lazima zifanane
98% tayari ushatengenezewa, wewe unamalizia kiduchu 2% iliyobaki
Kwa tafsiri yako.Mbona unawafokea?
MabadilikoMkuu
Unataka nini cha ziada!!!?
Ni maamuzi ya mtu kutumia tool flani kufanikisha takwa lake.ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India
View attachment 2585011
View attachment 2585012
View attachment 2585013
View attachment 2585015
View attachment 2585016
View attachment 2585018
Mbona unazungukaNi maamuzi ya mtu kutumia tool flani kufanikisha takwa lake.
Swala la kuongeza feature ni rahisi na inategemea na developer alionao ni wazuri kiasi gani kwenye kufanya modifications ya code kwa features zisizokuwepo.
Kwa forum kama hii haiwezi kuwa imeandikwa kwa style isiyoruhusu additional code japo haikutumia backend framework yoyote ni pure php .
Nb:
Jamaa alipiga hesabu zake vizuri miaka hiyo kukiwa hakuna ushindani mpaka leo hii Tanzania hakuna forum inayosimama juu ya jamiiforums.
Kwa hiyo kosa lake ni kununua?Mbona unazunguka
Sema kanunua source code
Hata wewe unaweza ukanunua na uka-upload
Kuna ugumu gani kwenye ku-upload
No need to reinvent the wheel.ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA
Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com
Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script?
Kama ndiyo wapo wapi wasomi wa bongo?
Haya ya mambo za ku-copy na ku-paste sio mazuri kwa sababu mwisho wa siku unashindwa hata kuongeza feature ( unaishia ku-customize )
Ifike mahali Tanzania izalishe programmer watakaoshinda na watu kama wa Kenya , Vietnam , Russia , USA , India
View attachment 2585011
View attachment 2585012
View attachment 2585013
View attachment 2585015
View attachment 2585016
View attachment 2585018
🤣No need to reinvent the wheel.
Forums nyingi wanatumia Xenforo mfano ni hiyo blackhatworld, Kenya talk nk, zamani walikuwa wanatumia mfumo WA vbulletin. Halafu hiyo software unainstall kwenye server na bhw na wamefanya hivyo hivyo. Kitachobalika ni template, yaani kama vile wordpress inavyofanya kaziKwa tafsiri yako.
Nikimcheki Melo - huwa namwona kama role model wa Tech TZ.
Kwa sababu ameamua kutaka umaarufu kwa kupitia Tech -
Sasa akianza kutumia source code za mtu mwingine tena kwa 99%
Inasikitisha
Hata icons , layout vyote hajabadilisha - ka-upload source code kama ilivyo
Ni sawa na kutumia blogspot au WordPress au CodeCanyon .Forums nyingi wanatumia Xenforo mfano ni hiyo blackhatworld, Kenya talk nk, zamani walikuwa wanatumia mfumo WA vbulletin. Halafu hiyo software unainstall kwenye server na bhw na wamefanya hivyo hivyo. Kitachobalika ni template, yaani kama vile wordpress inavyofanya kazi
Inategemea sasa na lengo la wamiliki na mtumiaji anayelengwa, kwani bhw inayo video playerNi sawa na kutumia blogspot au WordPress au CodeCanyon .
Huo Ni udhaifu
Ni bora ufanye donation ya code , site uijaze vitu vya uhakika
Yani tokea miaka ya 2000 hadi leo site haina video player ,
Una-upload source code tu