PICHA; Shamrashamra baada ya hukumu ya JJ Mnyika!

PICHA; Shamrashamra baada ya hukumu ya JJ Mnyika!

Hii kesi nayo ilikuwa ya kipuuzi sana huyo mama hakufikiria mara mbili. Imagine sasa kesi angeshinda huyo bibi Kidude kurudia uchaguzi Ubungo ingetugharimu kiasi gani?? yaani kweli watanzania ni wabinafsi wa kutupwa! Yeye anaangalia maslahi yake tu akishaupata ubunge alipwe posho na apange V8, aangalii sisi huku tunavyoumia na kodi zetu zinavyoteketea.

Mimi sio mshabiki wala mpenzi wa Chadema lakini huyu Mnyika nilimpa kura yangu.
 

Kushinda kesi ni kitu kimoja, ila kiukweli huyu jamaa hajafanya chochote jimboni kwake, ajipange vizuri, huu ni ushauri wa bure tunampa.:israel::israel:

Kufungua kesi za kijinga kupinga matokeo ya wana CDM ni moja ya mbinu za MAGAMBA ili kuwafanya viongozi wa CDM wanafikiria kesi tu.

Na sisi wananchi tumeliona hilo hatutawaacha kwani tunajua kuna mbinu nyingi sana za MAGAMBA katika kurudisha nyuma maendeleo sehemu zenye wabunge wa upinzania eti ili mwaka 2015 wawaulize walifanya nini.

2015 kumaliza mzizi wa fitina tunaanzia nafasi ya Urais, wabunge, madiwani hadi mabalozi 10 nyumbas wote toka upinzania. kisha watatafakari kuleta maendeleo.

Kwa sasa hatuwezi kuwalaumu sana, mbona CCM wameongoza Ubungo miaka 50 na hakuna walichokifanya?????



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Asante sana kwa picha ni habari za kufurahisha mno!
 
Hongera mh. Mnyika,pole ziwafikie hao wabibi wafuasi wa magamba kwenye picha wana huzuni na hasira niaje utazani wamevutishwa tumbaku ya puani,someni alama za nyakati bhana
 
Hongera kamanda. Hawa rudisha kadi ya magamba make yalikutosa yenyewe. Njoo kwa wapiganaji upate hata cheo cha ujumbe wa baraza la kata la CDM. Peeeeeeeeples
 
Huyo dereva wa Mbowe aanze mazoezi sasa.... angalau awe na shepu ya kikamanda. Just thinking aloud!
 
Huyu mwenye Shati la gamba ni Rejao!!!
 

Attachments

  • IMG_4136 Rejao.jpg
    IMG_4136 Rejao.jpg
    37.4 KB · Views: 37
HOngera Mnyika kwa ushindi. Ila ushindi mkubwa zaidi uko kwa wananchi wako jimboni na nchi nzima. nikitazama picha hizi zinanikumbusha picha za akina nyerere enzi za kupigania uhuru walipokuwa wakibebwa na watu waliochanganyikiwa kwa excitements! ni ushindi mkubwa kwa mtanzania wa kawaida ambaye hana lolote kwenye maisha yake zaidi ya matumaini! msiyaangushe matumaini ya watz, tafadhari!
 
You have said it all!



HOngera Mnyika kwa ushindi. Ila ushindi mkubwa zaidi uko kwa wananchi wako jimboni na nchi nzima. nikitazama picha hizi zinanikumbusha picha za akina nyerere enzi za kupigania uhuru walipokuwa wakibebwa na watu waliochanganyikiwa kwa excitements! ni ushindi mkubwa kwa mtanzania wa kawaida ambaye hana lolote kwenye maisha yake zaidi ya matumaini! msiyaangushe matumaini ya watz, tafadhari!
 

Kushinda kesi ni kitu kimoja, ila kiukweli huyu jamaa hajafanya chochote jimboni kwake, ajipange vizuri, huu ni ushauri wa bure tunampa.:israel::israel:


Hadithi za nyani kumcheka mwenzake ili hali nyuma nae ana viraka vikubwa sana, ubongo urudishe pahala pake. Kweli ukiwa ccm lazima fikra zife hata kama umesoma bado unakuwa sifuri. Unamwangalia Mnyika 2 miaka hao walokaa 50 miaka nini wamefanya? Barabara ya Mandela imekarabatiwa jana leo hamna kitu bado mbovu,ukitaka magamba kuwaelimisha utakuwa na kazi sana ni kheri kufundisha chekechea. Mkoloni mwingine Mkapa alipokuwa chuo kikuu kwenye mada, maongezi yake hovyo kabisa inabidii uhoji bora wa elimu yake. Hebu muulize mwanachama yeyote wa CHADEMA kwa nini nchi maskini? jibu utakalopata huna haja ya kwenda Mkiti sababu litakuwa limejitosheleza kwa pande zote,yaani tatizo,ufumbuzi na utekelezaji wake. Nyie magamba jibu lenu hamjui uwe wewe hata watawala wako chamani, jaribu anzisha mjadala kwa nini TZ jibu upande wa CHADEMA tu. Na jibu upande wa ccm, harafu pembua nijulishe chama kipi kimejibu vyema.
 
Hii kesi nayo ilikuwa ya kipuuzi sana huyo mama hakufikiria mara mbili. Imagine sasa kesi angeshinda huyo bibi Kidude kurudia uchaguzi Ubungo ingetugharimu kiasi gani?? yaani kweli watanzania ni wabinafsi wa kutupwa! Yeye anaangalia maslahi yake tu akishaupata ubunge alipwe posho na apange V8, aangalii sisi huku tunavyoumia na kodi zetu zinavyoteketea.

Mimi sio mshabiki wala mpenzi wa Chadema lakini huyu Mnyika nilimpa kura yangu.

Umesahau maagizo waliyopewa na Makamba kuwa wafungue kesi na CCM itawalipia? Kwao fedha halikuwa tatizo.
 

Kushinda kesi ni kitu kimoja, ila kiukweli huyu jamaa hajafanya chochote jimboni kwake, ajipange vizuri, huu ni ushauri wa bure tunampa.:israel::israel:


Ushabiki huo!!! Ukisema hajafanya chochote wakati juzi alikuwa anatoa ufafanuzi wa kazi ambazo amezifanya jimboni EATV, na wananchi walipiga simu kumsifia, sasa unasema hajafanya kazi zipi??? Kwani wewe ni wa Ubungo?? Na kama siyo, hayo ya Huko yanakuhusu nini? Kweli MFA MAJI HAKOMI KUTAPA TAPA.....GAMBA LIMEPATA JOTO NINI? VUA KAKA, KWANI UNALIPWA KIASI GANI?????
 
Dereva wa Kamanda mkuu inaonesha anakula sana mchemsho!

Mbowe mkataze huyo jamaa kufakamia minuso!
 
Back
Top Bottom