Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,322
Reaction score
56,058


Hii picha kila nikiiangalia na nikimuangalia Mh Samuel Sitta anavyowaangalia wenzake kwa hasira baada ya kumtenga kwenye majani na kwenye kiti cha peke yake wenzake wako kwenye red carpet roho inaniuma, kama mbwai mbwai tu na ndoa ivunjike
 
Ndio dawa ya unafiki. Kifupi ni kuwa kavamia hiyo shughuli period.
 
Kwa kweli ccm imevuka mipaka na ni Tatizo la Afrika Mashariki. ccm imekwamisha maendeleo ya Tanzania na sasa inakwamisha Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Na nyie mkome! tangu lini fisi akakaa kundi moja na simba? samweli sitta hana hadhi ya kukaa na hao marais, siyo level yake! kwa nini hakwenda makamu wa rais?

CC: East African Eagle,
ona mtu wako alivyokodoa macho kama fisi!
 
Hahaha ! unajipendekeza kwa watu hawakupendi !? yani hata hicho kiti hakiendani na wenzake, kajilazimishia.
 
kweli walisemaga picha inaongea kuliko maneno
 
Wabongo kwa kushabikia mambo ya kipumbavu mmeshinda.
 
Kwa kweli ccm imevuka mipaka na ni Tatizo la Afrika Mashariki. ccm imekwamisha maendeleo ya Tanzania na sasa inakwamisha Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rudi kwenu nyang'au / fisi wewe. Politics za Tanzania zinakuwasha enh?
 
Hahahahahaha..aisee sitta nae mpole sana, asingekubali. teh teh teh
 
Mzee mnafki sana bora wangeweka kitambaaa cheusi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…