Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,885
- 6,885
Baba Askofu msaidizi wa Jimbo la Bukoba Method Kilaini akiwa katika adhimisho la Ekalisti ambapo alitumia fulsa hii kuwaalika waumini katika maadhimisho makubwa ya kuamisha MWILI wa Mwadhama Caldinal Laurean Rugambwa tarehe 6/10/2012, na kutabaruku Kanisa la Cathedral ....Kweli Candid Scope bado Lubisi iko kichwani.