Picha rasmi ya rais na bango la baraza la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha rasmi ya rais na bango la baraza la mawaziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BLUE BALAA, Feb 22, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kuna picha rasmi ya Mh Rais imetoka kwa ambaye anahitaji kwa ajili ya kuweka ukutani. Sambamba na hiyo liko pia bango jipya la baraza lote la mawaziri ambalo liko na kalenda. Vyote vimeshambazwa mikoani hivyo kama unahitajiili fuatilia utavipata.
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Who cares!
   
 3. m

  maselef JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  za nini? ili iweje?
   
 4. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sasa sisi tufanyeje?
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nunua weka ukutani kwako kaka
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni kwa ajili ya kuweka ukutani
   
 7. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Some cares.
   
 8. M

  MushyNoel Senior Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hii thread ingeenda kwenye habari mchanganyiko au kwenye jukwaa la burudani.
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hivi nchi hii ina baraza la mawaziri. au ina waziri mmoja au wawili tu?
   
 10. l

  limited JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  rais yupi? RA,EL au huyu mgeni aliyekuja juzi?
   
 11. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Picha rasimi ya Diwani (JK), ya kazi gani kwangu mkuu?
  Jamaa amepwaya utendaji wake siku hizi kama Diwani wa kata halafu anachakaa ghafla, na bado!
   
 12. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwani TZ kuna Rais????????????
   
 13. s

  salisalum JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Iko figure ya rais tu lakini ndani yake kuna uwazi mtupu. Amepoteza haiba kabisa. Ni product mbaya kabisa tumewahi kuproduce Tanzania. Lakini tusilaumu sana maana Avumaye baharini ni papa ........... 2015 anakuja Lowasa pia mpaka 2025. Baada ya hapo January Makamba hadi 2035 kama haitoshi baada ya hapo Ridhiwan Kikwete hadi 2045. Miaka 35 hiyo, tutakuwa na umri gani?

  Baada ya Ridhiwan Mdogo wake Hussein Mwinyi atachukua hadi 2055. Kutakuwa na attempt ya mapinduzi mwaka 2050 lakini yatazimwa kwa umwagaji damu mkubwa.
   
 14. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sina uhakika kama tunae
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yanin kujiongezea strec,kama huyo mwinyi ndo mwendawazimu,yaani niwaweke wendawazimu kwangu
   
 16. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii thread ingemovuzishwa kwenda kwenye Jokes
   
 17. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mimi ninayo niliyonunua 2005, kwani Rais amebadirika???
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,652
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  are u serious? aliyetengeneza alikosa kazi
   
 19. W

  WildCard JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sisi sio Somalia bwana. Tunaye Rais na Baraza lake la Mawaziri. Kuukataa ukweli huu ni upofu ulioje! Hafai, hawezi, haumtaki, haukumchagua, hilo suala jingine. Tutaziona picha hizi kwenye ofisi zetu za UMMA. Kuinunua niipeleke nyumbani sio rahisi maana kule mimi ndiye "rais" ati! Iko picha yangu kule.
   
 20. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Yaani picha ya JK kwangu mmmh ngumu mno. Alafu mbona unamdalalia, au wewe ndio mtengenezaji unataka kurudisha?

  Kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza, mbona ya Wabunge wa CDM na uongozi wao haikuppigiwa debe lakini inaweza kuvunja rekodi ya manunuzi ya awamu zote mbili za raisi wenu
   
Loading...