Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
- Thread starter
- #81
TuliaJamani wengine KINGEREZA Tulianzia Form one ...jivi hakuna zero distance maana take mini,...kwa miktadha wa content ya mleta uzi?!
TuliaJamani wengine KINGEREZA Tulianzia Form one ...jivi hakuna zero distance maana take mini,...kwa miktadha wa content ya mleta uzi?!
😲😲😲
Huo uhafidhina wala hautusumbui....
#KaziInaendelea
Utakuwa na pepo mchafu inabidi utafutiwe gwajiboySijui kwanini nimejisikia vibaya namna hii kwa hii picha!!
Toba ata mimi mtoto wa mchungaji sielewi, na mimi sina wivu ilaWalinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608
Mkuu tafuta mwenyewe hiyo hotuba ya Mwl. Nyerere ya tar 22/Jul/1967.kuna mtu alimkoti Nyerere sikumbuki alisemaje sijui
Hawa jamaa wapuuzi kweli, uzuri tunawajuaMchokonoeni yaaani ili baadae aitwe dikteta.
Halafu imani ya Kiislamu hairuhusu mwanamke kushikana mikono na mwanaume.Kwa "pose" hii iliyopo katika picha, akiiona "First Gentleman" sijui kama ndani kutakalika.
Probable questions:
1) Siku zote nakuona umevaa barakoa tena ukijitenga na watu, imekuaje umekaa mkao ule na yule beberu?
2) Hivi kuutangaza utalii ni lazima ushikane shikane na yule beberu!?
Ndoa ndoana.
Tour guideWalinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608
Walinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608
Watu wengine mnajifunzaga upumbavu au mnaokotaga wapi. Unadhani kila usie kubaliana na mawazo yake ni Chadema??? Jifunze kuvumilia mawzo ya wenzako, sio kila mtu lazima ataje unachokitaka wewe.Peter Greenberg - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Acheni ujinga, kuna kosa gani hapo, huyo Peter Greenberg is known worldwide kufanya Royal Tour, kashafanya na marais na wakuu wa nchi nyingi duniani..
Acheni huu upuuzi wa kutaka kumchafua Mh. Rais. Chadema roho inawauma sana nchi yetu kutangazwa tupate watalii wengi zaidi. Kazi iendelee
Labda walipima kwanzaWalinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608
Ukileta mambo ya dini kwenye mambo ya kiserikali utashindwa kufanya kaziTuseme huko "porini" hakuna corona na walipima afya zao kabla na wakati wa kuchukua filamu. Ila swali ni je, Dini yake inamruhusu pozi la hivyo na mwanaume asiye mumewe?
Wivu tu ndio unaokusumbuwaSijui kwanini nimejisikia vibaya namna hii kwa hii picha!!
Hivi kuna pepo msafi?Utakuwa na pepo mchafu inabidi utafutiwe gwajiboy