PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

Corona ya TZ ni ya kutafuta fedha ya mzungu,ndiyo maana mtu akifa na Asthma, any critical condition inayihitaji oxygen hubatiziwa Corona.
Na watu maarufu kutangaza ndugu zao kufa na Corona inaonekana ni ujanja hata Kama kafa na pressure.
 
Kwa "pose" hii iliyopo katika picha, akiiona "First Gentleman" sijui kama ndani kutakalika.
Probable questions:
1) Siku zote nakuona umevaa barakoa tena ukijitenga na watu, imekuaje umekaa mkao ule na yule beberu?
2) Hivi kuutangaza utalii ni lazima ushikane shikane na yule beberu!?

Ndoa ndoana.
Halafu imani ya Kiislamu hairuhusu mwanamke kushikana mikono na mwanaume.
 
Walinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608

Tuseme huko "porini" hakuna corona na walipima afya zao kabla na wakati wa kuchukua filamu. Ila swali ni je, maadili ya kule Zenji kwake yanamruhusu pozi la hivyo na mwanaume asiye mumewe? Mwanamke Mzenji hata kama mnafahamiana mkikutana hakupi mkono wa salamu iwapo wewe mwanaume sio kutoka familia yake
 

Acheni ujinga, kuna kosa gani hapo, huyo Peter Greenberg is known worldwide kufanya Royal Tour, kashafanya na marais na wakuu wa nchi nyingi duniani..

Acheni huu upuuzi wa kutaka kumchafua Mh. Rais. Chadema roho inawauma sana nchi yetu kutangazwa tupate watalii wengi zaidi. Kazi iendelee
Watu wengine mnajifunzaga upumbavu au mnaokotaga wapi. Unadhani kila usie kubaliana na mawazo yake ni Chadema??? Jifunze kuvumilia mawzo ya wenzako, sio kila mtu lazima ataje unachokitaka wewe.
 
Tuseme huko "porini" hakuna corona na walipima afya zao kabla na wakati wa kuchukua filamu. Ila swali ni je, Dini yake inamruhusu pozi la hivyo na mwanaume asiye mumewe?
Ukileta mambo ya dini kwenye mambo ya kiserikali utashindwa kufanya kazi
 
Back
Top Bottom