salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,845
Maraisi wastaafu pia wanapelekeshwa mchaka mchaka....shamba walinunua kwa pesa zako halafu litaifishwe kisa hujaliendeleza....sio haki hiiThat's right, photo opportunity, na lengo lake hasa ni kumrahisishia kazi Magufuli. Headlines za jana zilisema Serikali imepata kigugumizi kutwaa shamba la Rais Mwinyi ambalo ameshindwa kuliendeleza Morogoro. Ilibidi leo Kikwete akimbie shambani na camera kuonyesha la kwake analiendeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app