Picha: Rais Magufuli na Mama Janet Magufuli katika tabasamu la furaha

Huyu Mama Mpaka Leo hajaanzishiwa NGO

Mi Mama ya Mjini inatamani Sana imzOnge zOnge ikina Asha Baraka, Shrose, Sophia Simba, Kite Kamba, Zarina Madabida n.k

Magu kadhibiti Mkewe asiwe Karibu Na Hii Minyakanga Na Migube gube ya Mjini

Sasa hivi inamsarandia Samia lakin Ulinzi umeimarishwa
Ana ikulu yake, hizi picha tunafurahishwa wadanganyika tu kuwa mheshimiwa ni baba wa familia. Mjini senior bachelors ni wengi.
 
Hivi ni mwalimu?
Unajua wazee wetu wengi na viongozi wake zao wengi walikuwa maticha!
Maticha ni wife material nashangaa vizazi vya sasa na kuzaliwa 1978 hawaowi walimu!
Wazee wetu walikuwa wajanja wanajua

Ova
Ma teacher hawa wa siku hizi jomba utavaba wanavyobuluzwa huku kitaa wengine wake wa watu kabisa ila sio wote
 
Back
Top Bottom