Picha: Rais Magufuli na Mama Janet Magufuli katika tabasamu la furaha

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Dt0Iq5bXQAY6jzj.jpg

"Ninawatakia kila la heri katika Maadhimisho ya Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania Bara, tusheherekee kwa amani, Mungu wabariki Watanzania wote, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Asante sana kwa kunisikiliza" -Rais Magufuli
 
Safi sana and beautiful First Lady, mama hana makuu huyu nafikiri baada ya Mama Maria huyu anafuatia, wengine walikuwa bize kuokota dodo kwenye muembe. Ukija na hasira zako hapa unaweza sema ana haiba kama ya nchi jirani kumbe ni mwenzetu kabisa.
 
Huyu Mama Mpaka Leo hajaanzishiwa NGO

Mi Mama ya Mjini inatamani Sana imzOnge zOnge ikina Asha Baraka, Shrose, Sophia Simba, Kite Kamba, Zarina Madabida n.k

Magu kadhibiti Mkewe asiwe Karibu Na Hii Minyakanga Na Migube gube ya Mjini

Sasa hivi inamsarandia Samia lakin Ulinzi umeimarishwa
 
Zile za mama Salma na Anna Mkapa zinaendeleaje?
 
Huyu Mama Mpaka Leo hajaanzishiwa NGO

Mi Mama ya Mjini inatamani Sana imzOnge zOnge ikina Asha Baraka, Shrose, Sophia Simba, Kite Kamba, Zarina Madabida n.k

Magu kadhibiti Mkewe asiwe Karibu Na Hii Minyakanga Na Migube gube ya Mjini

Sasa hivi inamsarandia Samia lakin Ulinzi umeimarishwa
:D:D:D
 
Back
Top Bottom