Picha: Rais Kikwete ashiriki maombolezo ya Regia Mtema

inaonyesha tu wamoja bt sijawaona hawa muhimu lawasa ngoyai na aziz rostam sijui wapo wapi?

Lingekuwa tukio la CCM au Kanisani Ngoyai angekuwa kimbelembele kabisa kwa vile ni kusaka kura za urais, lakini pale msiba wa memba wa Chadema hauna siha ya urais kwake.
 

Pole mkuu, hujitambui, ukirudia kusoma mistari yako taratibu utaanza kujielewa, sisi tunaomboleza msiba wa mpendwa wetu REGIA R.I.P kikwete wa nini? kwani kuna kusaini mswada huko?
 
Pole mkuu, hujitambui, ukirudia kusoma mistari yako taratibu utaanza kujielewa, sisi tunaomboleza msiba wa mpendwa wetu REGIA R.I.P kikwete wa nini? kwani kuna kusaini mswada huko?

Kama imekuuma sana JK kwenda kwenye msiba wa dada Regia jiue tuone kweli umekasirika.
Jifunze kuwa fair sometimes siyo kutekwa na machuki yako hadi pasipotakiwa. Binafsi sina love na JK lakini nimefurahi kujua tuko naye pamoja. Asingekuja ungesikia wambea kama wewe wakilaumu kwamba ametutenga.
NENDA DADA REGIA NENDA, MBELE YETU UMETANGULIA, NYUMA YAKO TWAKUFATIA.
 

Je wajua Mkapa alihudhuria misiba mingapi kipindi cha uongozi wake?

Mnyonge mnyyonge lakin haki yake mpeni,Hakika JK ni wa kusifiwa kwa hilo na ni mtu wa watu.

 
ikumbukwe kila nafsi itaonja mauti,Ee mwenyezi Mungu mrehemu Regia Mtema.Ee mwnyezi Mungu mweza wa yote tuinulie mwingine jasiri kama Regia ktk ukombozi wa taifa la watu wako Tanzania,AMINA
 
Just have a look on the pics below kwenye msiba wa balozi Athumani Mhina






Mkuu Thanks kwa Ushahid Maridhawa ambao kimsingi una Prove kuwa Mleta Thread atakuwa alikurupuka ama kwa kusukummwa na Chuki Dhidi ya Chadema/ Dr Slaa ama ndo kama vile wasemavyo Baadhi ya Wana JF kuwa ukiwa na Mapenzi na CCM basi automaticaly hata Brain yako inapungua uwezo wa Kufikiri na Kutenda, huenda mleta mada ni Mmoja wa waathirika wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…