picha;poleni arusha ila mbeya hitimisho la kampeni iyela ilikuwa hivi

COMMAN

Senior Member
May 1, 2012
110
47
kwanza natoa pole kwa wale waliofiwa na wale waliojeruhiwa katika bomu huko mkutano wa chadema arusha;lakini ngoja tuendelee na mapambano ya kuikomboa nchi hii.leo mbeya hali ilikuwa nzuri huku sugu na msigwa wakifunga kampeni hizo picha hizi hapa DSC01349.JPG watu walikuwa wengi balaaa
 
Tusikatishwe tamaa kwa haya yanayotokea kwani tuliyategemea but still Mungu yupo upande wetu! Asanteni wana mbeya kwa kujielewa
 
Back
Top Bottom