Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
Donald Trump atakufa ha ha afu Hillary Clinton ndo atakuwa Rais wa Marekani
Sijui kama mtakuja kupata rais mwingine anayewajali wakenya kama Uhuru Kenyatta. Ni rais mwelevu na msikivu sana.Mbona hata rais wetu Uhuru hufanya yake pia, msela
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hv hii nchi watu hatuaminiani kwann?Km unachosema ni ukweli! Basi na Mwenyezi Mungu akubariki!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daaah you made my dayView attachment 401694
Hatua mbili mbele, hakuna kucheka na kima..
ni vizuri, lakini una cheo gani?nildhan ni mim pekee ninae penda kucheza na watoto, hadi wife huwa nikicheza na mtoto huwa nae anapenda awepo ,ananshangaaga mno,nikitoka kazin watoto wote huja kunlak kwa bashasha.
Ha ha ha ha yani nimechekaa kwa nguvu hadi watu wananishangaa,eti "blal ful" (in your Daddy's voice).Asante Mkuu,u made my day.Acha mkuu,hadi mama anatafuta kona lake,kuna siku nlikosa la kufanya nikajikuta nimeshika ungo,akaniuliza ungo wa nini sa hizi,nenda kasome blal ful
Nice answerHuyo lazima apite maana hilaly anapatwa na jua
Huyo lazima apite maana hilaly anapatwa na jua
Ndo hivyo kashakuwa rais sasa, mi ni miongoni mwa watu ambao hawaamini katika utabiri wa vyombo vya habari, ambavyo vimekuwa institutions za kusaidia wagombea, na base kwenye msimamo wanguDuh! Unaanzisha uzi kwa kumtaja Obama, unamalizia kwa kumtaja Trump! Hivyo ndivyo tulivyo Watanzania...kiwango cha uelewa wetu ndiko ulikofikia. Imefikia pahala Nyerere analinganishwa na Magufuli...so so sad!
Ulimwambia ukwelijibu ni ndio ,sababu mwanamke hatakuja kuwa rais wa usa hadi dunia inakwisha
ni watu tu kutokujua mkuu lile ni Taifa kubwa! ukisema liongozwe na mwanamke ni sawa na kujidharalisha mbele ya mataifa mengine na kwa kupitia mwanya huo mataifa kama ya urusi,china na ya kiarabu nin rahisi kudharau uwezo wa U.S.A.pia katika ngazi ya maamuzi-kuna watu huwa wanaleta hoja za kitoto eti USA taasisi ndizo zinafanya kazi zina nguvu! wanasahau rais bado ni rais na ana veto power ya kuamua chochote kitu ambacho ni kigumu kwa mwanamke-fikiria bi clinton ndio angekuwa rais kwenye huu utawala uliopo si tayari USA angekuwa vitani na urusi moja kwa mojaUlimwambia ukweli
Mbona hata rais wetu Uhuru hufanya yake pia, msela
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()