Picha: Obama akifanya mambo ya utani ikulu

Picha: Obama akifanya mambo ya utani ikulu

Mbona hata rais wetu Uhuru hufanya yake pia, msela
uk3.jpg


President-Uhuru-passes-by-a-kiosk-to-buy-ndaos-and-a-soda-7.jpg


President-Uhuru-passes-by-a-kiosk-to-buy-ndaos-and-a-soda-8.jpg

1337057.jpg


Uhuru-PURES-III.jpg


11659228_1091494917545727_3447034263531977577_n-630x420.jpg
[emoji1] [emoji1] mkuu hili jicho la rais wenu mbona lina maswali mengi sana,ni msela kama unavyo sema eh????
 
nildhan ni mim pekee ninae penda kucheza na watoto, hadi wife huwa nikicheza na mtoto huwa nae anapenda awepo ,ananshangaaga mno,nikitoka kazin watoto wote huja kunlak kwa bashasha.
Km unachosema ni ukweli! Basi na Mwenyezi Mungu akubariki!
 
picha ya mwisho kamtupia mkewe kot lake la sut halafu hao walinz hawatak kuwaangalia wanajua mama oboma analiwa mate wanajibalaguza balaa
Ha ha ha aise hii hao walinzi hawana hisia,manake yakitoka mate unaweza ingia michezo mingine tena,
 
Back
Top Bottom