Hilaly ni nani huyo, mzanzibari nini?Huyo lazima apite maana hilaly anapatwa na jua
Hilaly ni nani huyo, mzanzibari nini?Huyo lazima apite maana hilaly anapatwa na jua
Anaumwa nini?hillary anaumwa
jibu ni ndio ,sababu mwanamke hatakuja kuwa rais wa usa hadi dunia inakwishaKwa
Kwani trump ameshachaguliwa kuwa rais wa marekani???
Sawa sawaMbona ngosha anapiga rumba Kwa sana
Tutakuita tukuhojiTupeni na za magogoni púa tuone
Ova
Una milioni saba za kupata dhamana kituoni?Ninazo ntazitupia baadae
Hahahaaaa umenikumbusha mbali sana ile mkisikia mluzi tu au fimbo inagonga chini kila mtu anajipa kazi aisee wazee wa zamani walikuwa wapo vizuri siku hizi wengine walilia kuita baby.Baba yetu hana utani,mkisikia anarudi kila mtu anatafuta pa kujificha
Acha mkuu,hadi mama anatafuta kona lake,kuna siku nlikosa la kufanya nikajikuta nimeshika ungo,akaniuliza ungo wa nini sa hizi,nenda kasome blal fulHahahaaaa umenikumbusha mbali sana ile mkisikia mluzi tu au fimbo inagonga chini kila mtu anajipa kazi aisee wazee wa zamani walikuwa wapo vizuri siku hizi wengine walilia kuita baby.
Ningependa nije nione na za kwetu awamu hii. Lol
Hapo kumbe na wakulu wa uku waige kujaribiwaMtu WA kujichanganya huyo, hapendi kuishi kifalme,yupo radhi kujaribiwa
Ningependa nije nione na za kwetu awamu hii. Lol
Acha mkuu,hadi mama anatafuta kona lake,kuna siku nlikosa la kufanya nikajikuta nimeshika ungo,akaniuliza ungo wa nini sa hizi,nenda kasome blal ful
Hata watoto?View attachment 401694
Hatua mbili mbele, hakuna kucheka na kima..
Mbona Obama hua hazongwi na walinzi? Swali la kichochezi
Usikasirike ndugu,nimeuliza tu,maana picha zingine mlinzi hua anazuia hadi mkono wa anaemsalimia,mbona awamu zingine haikuwepo hii mambo?Baada ya kuona hizo picha, umehamia kwenye ulinzi tena! Kwa hiyo unataka kusemaje labda?