Picha nzuri

Picha nzuri

perfectlytimedanimals_wcth_p2_20.jpg



Hakuna kama Mama
 
Nimehisi tu.

Labda yawezekana ni Baba yake au msamaria mwema alikuwa karibu na katoto akaamua aokoe maisha ya katoto

Au hata buzi lake........nani anajua........
 
Dah! nimefurahishwa sana na hizi picha!

Hasa hasa ile ya mtoto anayolia sababu ya kuona shark kwenye kioo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom