Picha nzuri

Picha nzuri

perfectlytimedanimals_wcth_p2_20.jpg

Hii naifananisha na ile movie ya true lies!!!
 
Kinachoboa tu hizo picha ni za wazungu ama kupigwa au wenyewe kuwemo ndani ya hixo photo
 
sijuwagi kuwatofautisha. Nikionaga shark najua ni dolphin, and vice versa.
By the way, kwa kiswahili wanatofautishwaje?

Majina yao kiswahili ni pomboo (dolphin) na papa (shark)...

Pomboo ana mdomo mrefu uliochongoka wakati papa ana mdomo ulio chini kidogo ya ncha yake ya mbele (ingawaje kuna papa wenye ncha ya mbele pana iliyotokeza pembeni kama nyundo)

Na hata mikia yao ina tofauti kwani ule wa pomboo upo horizontal, wakati mkia wa papa upo vertical...
 
Majina yao kiswahili ni pomboo (dolphin) na papa (shark)...

Pomboo ana mdomo mrefu uliochongoka na papa ana mdomo mfupi ulio na ncha (ingawaje kuna papa wente mdomo mpana uliotokeza pembeni kama nyundo)

Asante sana mkuu kwa ufafanuzi yakinifu...
Tofauti zao sasa naziona, ila kwa harak haraka majina yao huwa yananichanganya sana labda tu ni kwa sababu sina mazoea ya kuwaona mara kwa mara....
images
Great_white_shark_south_africa.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom