rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,439
NIKIFANYA KAZI NA MTU KAMA HUYU WA KULIA NITAKUWA SIMRUHUSU AiNGIE OFISINI KWANGU KAMA SIPO!!!!!!
Ndugu, mbona mtu wa kulia wa nasari ni mbowe.. udini uko wapi?...tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
Nduguyangu tatizo la Zito si ndege si mnyama mafisadi wa magamba wanamtumia , wewe unaona ni sawa alivyotangaza kugombea uraisi wakati anajua chama kipo kwenye kampeni Arumeru?tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
Chuki binafsitupe sababu za msingi kwa nini hutomruhusu aingie ofisini kwako
Post haina shida ila maelezo yake ndo pumbaComrade ulifikiri kweli kabla ya kupost hii thread yako?
tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam
MMeshindwa Arumeru unakuja kuwewesekea humu! umejiunga JUZI ukamuomba mkeo akugongee LIKE ( KUDADADEKI !!! sera za chama)tatizo lenu nyie chadema udini unawasumbua, fitna majungu na kelele nyingi kwa zito sababu ni muislam