T TOWASHI JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 294 Reaction score 181 Mar 30, 2015 #1 Hivi anaweza akawa anawaza nini moyoni mwake huyu waziri 'mzururaji"?. Halafu kwa mbaaali katibu mwenezi ametoa tabasamu la waiter....
Hivi anaweza akawa anawaza nini moyoni mwake huyu waziri 'mzururaji"?. Halafu kwa mbaaali katibu mwenezi ametoa tabasamu la waiter....
F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Mar 30, 2015 #2 Huko Nyalandu naye anasema huyu katibu na meno ya tembo kama wanahusiana vile
C Chungurumbira JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 2,170 Reaction score 571 Mar 30, 2015 #3 HIvi huwa ni lazima kutazama kwa meno??
Kyoombe JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 1,211 Reaction score 785 Mar 30, 2015 #4 Mzururaji anawashangaa wazururaji wasiojitambua kuwa na wao ni wazururaji!.
Ndutulyama Member Joined Mar 27, 2015 Posts 89 Reaction score 97 Mar 30, 2015 #5 Waziri Nyarandu kapata msemaji kutoka Bakwata sheikhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam... Alhad musa salumu.
Waziri Nyarandu kapata msemaji kutoka Bakwata sheikhe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam... Alhad musa salumu.
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 301 Apr 2, 2015 #6 Nyalandu ni raisi wa wanyaturu wa kwao Ilongero