Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

  1. Kipindi cha uhaba wa sukari alisingizia, kuwa wafanyabiashara wameficha.
  2. Likaja suala la fedha kuadimika, nazo akasema kuwa mafisadi wameficha fedha.
  3. Issue ya DANGOTE akasema ni wajanja walitaka kujinufaisha na mradi huo.
Sasa kwenye suala la njaa, wanasingizwa waandishi wa habari...!
Hei is very Aggressive , i dont know why , hivi kila anayemuona mbele yake ni kumpinga na kumkaripia na kumdhalilisha , hii si bure .
 
Mkuu ndiyo gharama tunayoilipa kwa CCM kutotaka watawala wenye historia inayoeleweka. Usisahau tezi dume.

Kweli tunatakiwa tujipange na tawala na watawala tusiojua historia zao.
 
Baba yako bora bao lake angepigia nje maana hiki ulichoandika ni kituko.Hivi hata chekechea mwalimu wako hakukufundisha physical geography?
Hivi ukuaji wa nyasi unafananisha na mazao ya chakula?
 
Nmc arusha walimilikishana ccm .... Kilo ya unga 1500 twafaaaaa
 
Hakuna one to one relationship Kati ya Google Earth na Hali ya njaaa imesababishwa na upungufu wa mvua labda ungekuja na takwimu za kiwango cha mvua alafu elewa Ukisikia mtu ananjaa ukasema anakuza n I uuaji
 
Hizo picha kwanza sio za Tanzania ni za Kuwait kule kwa Saddam Hussein pamoja na Iraq kwa Gaddafi.
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...
Na kwa nyongeza ya ki uzushi ki mtindo...
Hivi kwa karne hii tunayoishi ,je ni sahihi kutegemea mvua?...Hasa kwa nchi yetu,North...lake VIC, West lake TAN, South lake NYA, East IND Ocean.....
Hivi kweeli,kweeli,KWELI na mito iliyomo ni sahihi kusubiria MVUA?
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...
Soma vizuri kwenye hiyo Google earth uone hiyo picha ya sattelite ilipigwa lini.
Usifikiri eti ukifungua Google earth eti unakuwa unaona things in a Real time kama vile Magari yana Move Chinga wako wana randa randa mtaa wa Congo etc.

BIG NOOOO
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...
Nonsense
 
Jamani,swala la kuwepo au kutokuwepo njaa nchini na nini kifanyike tusubiri wawakilishi wetu ambao ni wabunge watakapokutana Dodoma mwezi ujao watawasilisha hali halisi.
Sidhani kama watashindwa kutimiza majukumu yao ya kibunge.
 
Kwahiyo tusipaze sauti zetu mpaka Wabunge waende Dodoma. Nn faida ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano?!
 
Mleta maada acha kupotosha watu, hali ya njaa haipimwi na Google map au earth!! Na kama hauna uelewa wa climatology, environment disaster na femine kaa kimyaa!! Haujui matumizi halisi ya Google earth! Elimu yako vipi?
 
HUWEZI KUTUMIA PICHA ZA GOOGLE EARTH KWA MATUMIZI YA MTOA MADA MAANA KWA ASILIMIA KUBWA PICHA HIZO HUPIGWA KIPINDI CHA KIANGAZI ILI ZIONEKANE VIZURI ZAIDI YAANI BILA UKUNGU!
 
Back
Top Bottom