Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

  1. Kipindi cha uhaba wa sukari alisingizia, kuwa wafanyabiashara wameficha.
  2. Likaja suala la fedha kuadimika, nazo akasema kuwa mafisadi wameficha fedha.
  3. Issue ya DANGOTE akasema ni wajanja walitaka kujinufaisha na mradi huo.
Sasa kwenye suala la njaa, wanasingizwa waandishi wa habari...!
MUSSA ALLAN hawa jamaa wa wanakengengeuka tuu
 
Atuwekee na google ya Dubai km nayo itsonyesha ukijani km huu ili kutoa usahii kutoa malumbano
 
Kinacho sikitisha ni kwamba kasema hatoi chakula sehemu yeyoti..HATOI!.and kasisitiza,sana....sijui nin anafikiria yeye
 
Ujinga kama huu hauvumiliki naona ni mshamba wa kutumia Google earth kwa sababu ukiangalia ni miti ya asili ndo huonekana ya kijani kwa sababu unaangalia kwa juu na picha za Google earth huwa siyo live so unaweza kuangalia ambayo haijawa updated
 
Uwepo wa ukijani sio tafsiri halisi ya uwepo wa mvua ile inayotakiwa. Kwa Mkoa wa Songwe ilikua kawaida mvua kuanza mwezi wa 9 au wa 10 lakini mvua zilianza mwishoni kabisa mwa mwezi wa 12 hivyo kupelekea mazao mengi kushindwa kuota kwa wakati muafaka. Ni hali ambayo haijawahi kutokea sasa Google earth haiwezi ku correlate na uhalisia uliopo
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...
Hongera kwa research mkuu, jitahidi ufike na site japo mikoa hata mitano kwa kusample kila ukanda wa nchi yetu ili utuletee mrejesho jukwaan
 
  1. Kipindi cha uhaba wa sukari alisingizia, kuwa wafanyabiashara wameficha.
  2. Likaja suala la fedha kuadimika, nazo akasema kuwa mafisadi wameficha fedha.
  3. Issue ya DANGOTE akasema ni wajanja walitaka kujinufaisha na mradi huo.
Sasa kwenye suala la njaa, wanasingizwa waandishi wa habari...!
Kila tukio lina mchawi wake, ngoja tusubiri mwisho wake
 
Hiyo analysis uliyofanya ni utumbo mtupu....
Hali ya nchi (Ukijani au jangwa) kutoka picha za juu always look the same kila mwaka kutokana na nature ya eneo husika!Pengine ungetuonyesha hali ilivyokuwa mwaka jana na mwaka huu kwa picha kutoka angani ili tuone utofauti..
 
Hongera kwa research mkuu, jitahidi ufike na site japo mkoa hata mitano kwa kusample kila ukanda wa nchi yetu ili utuletee mrejesho jukwaan
Nimeshazunguka nchi nzima isipokuwa Pemba na mkoa wa Katavi, na Bukoba... Kwingine kote nimeshafika...
 
Nchi hii haina baa la njaa bali kuna sehemu zinakabiliwa na ukame...na sehemu kuwa na ukame haimaanishi sasa kuna njaa...
 
Sasa nimekubali Rais anahitaji Maombi, tena maombi ya kufunga na kukesha
 
Kama picha za google earth ndo zinatumika kumplekea rais taarifa basi nchi nzima Twafwa
 
Naona awamu hii Wafanyabiashara na Matajiri wanachonganishwa na Masikini na wanyonge kwa nguvu
 
sasa rangi ya kijani ndo chakula? kumbuka kuna mbuga za wanyama, misitu , national reserves etc . zote hizi kumbuka ni kijani nazo
 
Kumekuwa na ubishani kuhusiana na hali ya njaa nchini na mengi yemeongelewa. Lakini ili kutatua ubishani huu na 'kumaliza' malumbano, ningeomba picha hizi zimfikie mheshimiwa Rais.

View attachment 458424 View attachment 458428 View attachment 458431 View attachment 458432

Assesment yangu ni hivi:

In general, sehemu kubwa kulingana na picha zilizopigwa na mtandao wa Google Earth zinaoesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya nchi iko katika hali ya ukijani.
Hiyo asilimia kama thelathini iliyobakia, acccording to Google Earth ni mikoa kama ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, na nusu ya Singida inaonekana kuwa na ukijani, ihali nusu ikionekana kuwa na hali ya jangwa.

Kwa kutumia picha hizi za google earth ninamuomba muheshimiwa kuwa watu wa mikoa hii ambayo inaonekana kuwa imeathiriwa na ukame, wapate msaada wa chakula cha dharula iwapo hali itabidi, pia wale walio na mifugo kwenye maeneo haya yalioathiriwa na ukame, waruhusiwe kuihamishiak wenye mikoa inayonekana kuwa na hali ya kijani kibichi kama inavyoonekana kwenye picha za Google Earth.

In general,
Naungana na mheshimiwa Raisi kukiri kuwa suala la ukame limekuzwa na wafanya biashara na wanasiasa wenye nia ya kuichafua serikali yake, kwani kutokana na assesment yangu ya picha za google earth, inaonekana sehemu kubwa ya nchi ikiwa katika hali ya ukijani....
Mwisho wa Mjadala...

Mwisho wa mjadala ama ni mwanzo wa mjadala.

Unaleta picha za siku moja!. Kijani hicho ndicho kinaashiriakwamba hakuna njaa?
Unajua cropping calendar za mikoa yote ya Tanzania?
Hicho kijani ulichokiona kwenye google map kimetokana na mvua. Hizo mvua zimenyesha lini?
Unajua kwamba mabadiliko ya msimu wa mvua pia yanaweza kuwa sababu ya njaa kubwa, kwamba mvua imeharibu mazao na kusababisha mafuriko?
Unafahamu kwamba kijani cha nchi kinaweza kupatikana ndani ya juma moja la mvua? Je juma moja hilo linatosha pia kufanikisha kilimo, kupanda na kukomaza chakula tayari watu wasiwe na njaa?
Kama watu walilima mazao yakakosa mvua na kukauka, halfu mvua ikanyesha kuotesha nyasi, itahuisha na hayo mazao ghafula na kuyarudisha kwenye trend yake ya kawaida ya growth?

Unafiki ni mauti ya aibu.
 
Back
Top Bottom