Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,296
- 51,924
Unafiki na maigizo tu hayo
Eeh😳 ushahidi wa nini tenaWamchunge tu asije kujidhuru tukapoteza ushahidi!
Eehushahidi wa nini tena
| Anasali salio sana jamaa | |||
Ule aliosema PompeoEehushahidi wa nini tena
Mh!🤔 Nalog offBado tuna kazi naye, kaa kwa kutulia.
Mimi nilikuwa najua viti Maalumu ni kwa Wanawake tu kumbe adi na Sisi tupo, lakini atapewa jimbo gani?Mwache mtani wangu asome agano la kale ili ajue kuwa walikuwepo viongozi kama yeye ila kilichowapata anajua mungu mwenyewe
Tuwekee na ile picha ya mwenyekiti wa Ufipa akiwa bar anafakamia Konyagi!