mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
kati ya zote iliyonikera ya mama Salma kuvaa joho
Tugawane keki ya taifa kisawasawa, kuna wengine mbona tumeswasahau???? Elimu ni Msingi wa Maendeleo!!!iView attachment 42430
SI
Hiyo ya "mgongo wa viongozi haupindi" ilikuwa wapi?
Mbona hizi pia zimetingisha mwaka huu wa 2011!
![]()
![]()
Tugawane keki ya taifa kisawasawa, kuna wengine mbona tumeswasahau???? Elimu ni Msingi wa Maendeleo!!!iView attachment 42430
mkuu usisahau kuiweka ile bembea ya jamaika, plz!
Usiku huu ilitumika kodi ya watanzania yenye thamani sawa na malipo ya kiinua mgongo ya wazee 20 wa east africa community.
mgongo wa kiongozi haupindi?
View attachment 42421
Usiku huu ilitumika kodi ya watanzania yenye thamani sawa na malipo ya kiinua mgongo ya wazee 20 wa east africa community.