Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

Huyu Dada Sanamu Yake Ijengwe Madaba Pale
Kwa Kumbukumbu
 
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili. Ukiona mashindano yanaanza, tumia msemo unaosema aliye juu mgoje chini. Biashara ya ndoa haitaki hasira. Ni game of chance. Huwa hawafiki mbali na kama wasemavyo kusikia kwa kenge hadi atoke damu masikioni
 
Naaaam, no need ya kukimbizana. Just dont play, baadae wenyewe huwa wanajirudi
 
Akija juu na wewe ukaja juu, mnajenga mbili. Dawa ya moto ni maji. Afterall katika uongozi kuna kitu inaitwa Due diligence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…