PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

KICHWA MAJI WEWE LEO MMESAHAU FAST JET ILIPOSEMA INAKABILIANA NA HALI YA UCHUMI NDIO MAANA WAKANUNUA NDEGE HIZO...MKACHONGA MIDOMO KAMA VINGEDERE NAKUSEMA MAGUFULI NDIO CHANZO? LEO HII UNASEMA TUSIWAAMINI FAST JET?
Naona leo upo zamu ya usiku umeshakula mashudu..tulisema na nani? Halafu hiyo maandishi makubwa unaugonjwa wa macho?
 
Yaani Tz si mchezo na ni tishio kwa eneo la maziwa makuu kwani story zetu zinebadirika ni aviation tu mitandao yote ndani ya muda mfupi tu
 
sasa jmn serkali yetu hata km hizi imeshindwa? au ni mipango ya kubana matumiz wakuu?
 

BAVICHA mmeumia sana kwa ATC kupata ndege mpya eh? Mbona mlikuwa mnaisifia sana Precision Air na ndege zao za mapanga?
 
Yaani unachotaka kutuambia ni kubwa kwamba we we are unajua zaidi masuala ya usafiri wa anga na ndege kuliko serikali?
 
Hebu nitajie moja wapo ya Maslahi ...ya Taifa aliyofanya au kununua Ndege!,,,inamsaidia nini Mama mjamzito anaenguka kwenye Kitanda Hospital au hata hiyo hujui....
Mambo ambayo Magufuli ameyafanya muhimbili nayo hamyaoni? Angalia kwenye huduma za afya nchini angalia nidhamu kazini kwa watumishi. Najua strategy ya upinzani ni kupindisha mafanikio ya Magufuli ili aonekane mmbaya kwa wananchi na matokeo yake Lowassa ndio aonekane mwema.
 
KICHWA MAJI WEWE LEO MMESAHAU FAST JET ILIPOSEMA INAKABILIANA NA HALI YA UCHUMI NDIO MAANA WAKANUNUA NDEGE HIZO...MKACHONGA MIDOMO KAMA VINGEDERE NAKUSEMA MAGUFULI NDIO CHANZO? LEO HII UNASEMA TUSIWAAMINI FAST JET?
Una uzoefu wa ddaladala na mabasi ya Songea.
Kwa hizo picha ndege za za fstjet ni utumbo.
 
Ndege mpya za fastjet-wingi ukimaanisha zaid ya moja

....fastjet imepanga kuingiza nchini ndege moja jamii ya. ....... -umoja , yaaan ndege moja.

Anyway naona wameamua kutumaliza tupangaboi twetu
 
Oiiii wadau mwenye namba ya elizabeth michael...a.k.a lulu ani pm fasta....basi
 
Oiiii wadau mwenye namba ya elizabeth michael...a.k.a lulu ani pm fasta....basi
 
Mkisifiaa bilakusahauu naulizakawaida zinaondokaa somsitegemee ya 42"000
 
Bhuahahahahaha dah watu mna utani wa ngumi jamani khaaaa eti mapanga shaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi zile ndege za awali za hili shirika zilipelekwa wapi?
 
Aliyeleta mwendo kasi alibuni njia sahihi ya kufanya biashara sijui kama ATCL wamejipanga vipi kukabiliana na ndege za kisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…