PICHA: Ndege mpya za Fastjet hizi

Kwa akili yako wewe CV ni yule Makaratasi? Kikubwa kinachukuuma labda huyo Jamaa aliyeteuliwa siyo wa chama chako. Acha watu wafanye kazi Acha majungu yako.
Akili uliyonayo inakutosha kuvukia Barabara na kujua ulipo mlango wa Chooni tu..kuna kz gani yamaana iliyofanywa mpaka sasa!
 
Una maana gani kusema hizo ni ndege "mpya".
They look very old to me.
 
Nyinyi siku zote ndio mlikuwa mnalalamika watu wanalipwa mishahara mkubwa, Mh. Raisi ameliona analifanyia kazi mnaanza kutunga mengine. Watu wa ajabu ajabu sana.
Mkuu unatumia nini kufikiri Umeshawahi kuona ID yangu inalalamikia Watu kulipwa mishahara mikubwa humu....au unakariri...MTU alipwe kutokana na umuhimu wake...kwaakili yako unamkabidhi mtu Shirika lenye maBilions ya Shilingi kisha unamlipa 15ml nabado unategemea alisaidie hilo Shirika lishindane na watu waliojipanga..ndio maana mnateuana kwa Sifa yakuvaa Nguo za kijani MTU anaejua thamani yake ningumu kumpata! Tatizo lenu kila mahari mnataka kufanya Majaribio
 
Mkuu utaikwepeshaje ccm na majanga ya Nch hii? kipindi hicho sindio chama kilikuwa kimeshika HATAMU zaidi ingawa Leo kimeshika hatamu kwakujificha kwenye KOTI la Vyama vingi
 
Mkuu utaikwepeshaje ccm na majanga ya Nch hii? kipindi hicho sindio chama kilikuwa kimeshika HATAMU zaidi ingawa Leo kimeshika hatamu kwakujificha kwenye KOTI la Vyama vingi
Tatizo lako wewe na wenzako ni kwamba mnashindwa kufanya analysis kwa sababu ya kutokuwa ' multi dymensional thinker' mnachofahamu nyinyi ni kuwa mambo yakienda vibara sababu huwa ccm lakini yakienda vizuri husifu individuals involved.
 
Mkuu wangu kwanza mimi sina matatizo yoyote...Tangu tupate Uhuru hakuna chama kingine kimetawala hii Nchi kwahiyo mkitaka kusifiwa pia mkubali kulaumiwa sababu yanawahusu....Analysis yanini kwenye mambo yaliyowazi
 
Sasa kuhusu air pangaboyi itakuwaje jamani!!!
 
Hiyo nilazima hizo ni ndege za ccm lazima isafirishe wajumbe kwaza wa mkutano mkuu wa ccm biashara baadae na faida tunaitaka ukisema umepata hasara unatumbuliwa kwani umeshindwa kujiongeza!
 
Mkuu wangu kwanza mimi sina matatizo yoyote...Tangu tupate Uhuru hakuna chama kingine kimetawala hii Nchi kwahiyo mkitaka kusifiwa pia mkubali kulaumiwa sababu yanawahusu....Analysis yanini kwenye mambo yaliyowazi
Tatizo lako jingine ni hilo la kuwabatiza watu uanachama wa vyama vya siasa kutokana na kuwa na mtazamo tofauti nawe tu.
 
sa si bora nipande hizi kuliko panga boy!!!
 
Kwa sisi tuliozoea mabasi siku tukianza kupanda ndege tutaendelea na uchaguzi wetu wa ndege za seat za two by two.
 
Mimi siyo ccm na wala sijawahi kuwa ccm ila upinzani kwa raisi huyu inabidi mjipange. Kwasababu yupo makini na anafanya mambo kwa maslahi ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…