PICHA : Naomba kuwajua hawa wahudumu wa kike wanaokuja na hii ndege yetu Air Bus A220 ,ambayo tayari imetua Accra Ghana kuja hapa Bongo

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ni hilo tu jamani
Ndege-4.jpeg
 
Wewe unawatafutia tu shida wadada wa watu. Watu wakianza kuwachambua kama karanga humu, utachoka mwenyewe!
 
in case of emergency kama wanahudumu na suruwale zilizo bana hivyo+unene wataweza kuwafikia abiria kwa haraka na kutoa msaada?
vingimevyo wamekaa ki waifu matirio napita
 
in case of emergency kama wanahudumu na suruwale zilizo bana hivyo+unene wataweza kuwafikia abiria kwa haraka na kutoa msaada?
vingimevyo wamekaa ki waifu matirio napita
Ni kweli kabisa....

Hapo ni matukunyema
 
Jiwe kila siku anaponda mabeberu chaajabu ndege zote marubani ni mabeberu kama yuko serious angeazima marubani hata kwa mwanae kagame au kenya
 
Kiukweli hao wamama ni wazee,mbona hii nchi ina vibinti vibichi sana ambavyo vingeweza kufanya hii kazi jamani,haiwezekani watuwekee mimama tena ina vitambi,kiukweli binafsi nawachukia sana wanawake wenye mavitambi,tena jingine unakuta hata kuzaa tu halijawahi mtumbo huoo..aaagh!
 
Back
Top Bottom