Picha na video za wawakilishi wetu kwenye mashindano ya olympic London 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha na video za wawakilishi wetu kwenye mashindano ya olympic London 2012

Discussion in 'Sports' started by MsemajiUkweli, Aug 15, 2012.

 1. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,911
  Likes Received: 12,091
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:

  Huu utalii wa kutumia jina la uwakilishi lazima tuuangalie kwa macho mawili.

  Sina budi kuzipongeza zile nchi anbazo kwa msimamo makini hata hazikupeleka wawakilishi kuwa kama watalii kwa jina la uwakilishi wa nchi.

  [​IMG][​IMG]  <u>

  <u>

  <u>

  <u>

  BALOZI KALLAGHE AWAAGA WANARIADHA WETU KWA MATUMAINI YA OLIMPIKI 2016
  [FONT=Georgia, Utopia, 'Palatino Linotype', Palatino, serif][/FONT]

  [​IMG]
  Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe (kulia) akizungumza na baadhi ya wadau wa Michezo aliowaalika ubalozini hapo wakati wa kuiga timu ya Tanzania ya Olimpiki.
  [​IMG]
  Msosi wa nguvu mezani.

  [​IMG]
  Mh Balozi akikabidhiwa tuzo maalum na mkuu wa msafara Hassan Jarufu iliyotoka katika kamati ya Michezo ya Olimpiki.

  [​IMG]
  Mwanariadha Zakia Mrisho akiongea machache na waandishi wa habari.

  [​IMG]
  Selemani Kidunda, Frank Eyembe na Zakia Mrisho wakila pozi

  [​IMG]
  wakati wa kubadilishana mawazo

  [​IMG]

  [​IMG]

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...