Kabla ya video za ngono kusambaa mbona hayo matukio yalikuepo lkn siku izi yamezidi na hata ukatili wa kijinsia pia si kweli kupiga NYETO na KUFANYA mapenzi kwa NJIA ya kawaida inakufanya usibake Bali ni utimamu wa akili Yako inavyokutuma
Pili si kila asiepiga puchu ana mawazo ya kubaka Bali hata hao hao wapiga puchu Wanabaka tu Bali ni mtu na akili yake itavyomtuma
Tatu hata mpiga puchu akiipata mbususu au mbunye, kitumbua papuchi, anagonga Sana tu sio kweli wanawaza hio kaswende na UTI Bali wanaogopa kutongoza au kumwaga mapema, au kushindwa kusimamisha, pia Hilo suala Hela wanawake wengi wanataka kulelewa.