Picha na matukio: Ziara ya Kinana China, akifanya mazungumzo na viongozi wa CPC

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
1.-KINANA-AKIMTAMBULISHA-SENGELEMA.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimtambulisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
2.-KINANA-AKIZUNGUMZA-NA-HUANG-XIANYAO.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na
3.-KINANA-AKIBADILISHANA-MAWAZO-NA-KINA-XIANYAO.jpg

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
4.-KINANA-AMPA-KINYAGO-XIANYAO.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi ya kinyango cha Kimakonde, Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
5.-UAI-AKITOSI-NA-XIANYAOV.jpg

Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ‘akitosi' kinywaji kwenye kijiglasi maalum cha kinywaji, na Katibu wa Kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
6.-MIGIRO-AKIMSALIMIA-XIANYAO.jpg

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM, Dk.Asha-Rose Migiro akimshukuru Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou,
7.-SHIGELA-AKIZUNGUMZA-NA-XIANYAO.jpg
K

katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou,
8.-KHADIJA-ABOUD-AKISALIMIANA-NA-XINYAO.jpg

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Khadija Aboud akisalimiana na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir .
9.-KHAMIS-SULEIMAN-DADI-AKISALIMIANA-NA-XINYAO.jpg

Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Khamis Suleiman Dadi akisalimiana na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na

Hadi raha tupu; maujuzi full kuchukua
 
waandishi wa bongo bwana hivi china kuna jimbo linaitwa Guangzhou

CCM haina Mwandishi WameMPROMOTE BLOGGER NKOROMO kuwa MPIGA PICHA wa CCM; ni kama VILE MICHUZI na KIKWETE... ni ULAJI ndani kwa ndani...
 
Yaani kwenda kwao kote wamekutana na katibu mmoja tu wa maadili inaonekana wana shida na maadili kwenye chama chao,ndio maana wanakutana na katibu wa maadili!wataishia hapo hapo kwa katibu wa maadili!hata katibu wa sera na mipango,katibu wa utekelezaji wa ilani etc hata katibu mkuu mwenyewe watamsikia tu!!labda wachina wamewachoka kwa longo longo!
 
1.-KINANA-AKIMTAMBULISHA-SENGELEMA.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimtambulisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
2.-KINANA-AKIZUNGUMZA-NA-HUANG-XIANYAO.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na
3.-KINANA-AKIBADILISHANA-MAWAZO-NA-KINA-XIANYAO.jpg

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
4.-KINANA-AMPA-KINYAGO-XIANYAO.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi ya kinyango cha Kimakonde, Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
5.-UAI-AKITOSI-NA-XIANYAOV.jpg

Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ‘akitosi’ kinywaji kwenye kijiglasi maalum cha kinywaji, na Katibu wa Kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir Nkoromo).
6.-MIGIRO-AKIMSALIMIA-XIANYAO.jpg

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM, Dk.Asha-Rose Migiro akimshukuru Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou,
7.-SHIGELA-AKIZUNGUMZA-NA-XIANYAO.jpg
K

katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela akibadilishana mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou,
8.-KHADIJA-ABOUD-AKISALIMIANA-NA-XINYAO.jpg

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Khadija Aboud akisalimiana na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na Bashir .
9.-KHAMIS-SULEIMAN-DADI-AKISALIMIANA-NA-XINYAO.jpg

Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Khamis Suleiman Dadi akisalimiana na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. (Picha na

WAMEKUTANA NA WAJUMBE WA CCCP WALE LOW INCOME ERNERS AU WATU SIMPLE SIMPLE TUU. yaani inaonesha kwa kiasi gani CCM inahitaji kuwafunza wajumbe wake nini maana ya kuvaa suti katika ziara za ugenini. ukimuangalia mjumbe wa jumuia ya wazazi mzee dadi, inaonesha kwa jinsi gani tupo nyumba kimavazi na kutojua nini maana ya propaganda ya kuvaa. wewe unaenda katika mkutano ambao asilimia miamoja ya wajumbe wa china wamevaa suti halafu unakuta mzee dadi kavaa mshati unadhania anenda mpirani Yanga na cost union!

mama migiro nampatia pongezi, kapendeza sana na kaonekana kuwa kakomaa ki propaganda za kuvaa suti.
 
Hakuna jipya hapo zaidi ya kufuja pesa za wananchi hao ni watalii kama kawaida yao!
 
Nina mashaka na tembo wetu, hawa wachina si ndio walikamata yale makotena ya pembe za ndovu?
 
China matapeli tu wanajifanya wana sera za ujamaa halafu pesa yote wameweka USA!!!. Kama hawapendi mfumo wa kibepari ni kwanini wanaweza $1Trillion USA??. Wanadanganya nchi masikini kuwa wenyewe ni wa jamaa hii si kweli ni ujamaa wa uwongo tu na mbinu za kukaa madarakani milele lakini kiuchumi wameanza kuleta maendeleo walipofuata sera za kibepari.
 
Wawara kaeni macho mumeenda kuuzwa kabisa huko sia ajabu hawaaminiki hawa ni na uhakika mipango ya karatasi za kufutika baada ya kupigwa kura inaandaliwa rejea Taarifa toka kwa Prof Lipumba
 
China utawala wao ni wa majimbo aina hii ya utawala imeimalisha maendeleo ya china. ingekuwa vema magamba wakajifunza aina hii ya utawala, lakini kwa kawaida magamba hawaigi mambo mazuri. ingekuwa ufisadi wangetumia nguvu nyingi kujifunza
 
Labda waende ahera,huku duniani wametembelea mabara yote lakini hawana cha kujifunza na hata wakifundwa hawafundiki hata kufindishika.ni wizi wizi tu kama wizi mwingine.
 
Mkuu hilo ni jina la mjini - nadhani zamani ulijulikana kama CANTON kama sikosei.

Canton ni jina la jiji la Guangzhou kwa kingereza kama ambavyo Peking ni Beijing na Hongokong ni Xiangkang. Jiji la Guangzhou ni makao makuu ya jimbo la Guangdong.
 
China matapeli tu wanajifanya wana sera za ujamaa halafu pesa yote wameweka USA!!!. Kama hawapendi mfumo wa kibepari ni kwanini wanaweza $1Trillion USA??. Wanadanganya nchi masikini kuwa wenyewe ni wa jamaa hii si kweli ni ujamaa wa uwongo tu na mbinu za kukaa madarakani milele lakini kiuchumi wameanza kuleta maendeleo walipofuata sera za kibepari.

Mkuu kwani nani alisema ujamaa maanake ni nchi kuwa masikini, mbona URUSI iliwahi kuwa Super Power sio kijeshi tu hata kiuchumi!!
 
1.-KINANA-AKIMTAMBULISHA-SENGELEMA.jpg

Kinana kaenda China kutanua soko la Pembe Za Ndovu? Maana Wachina kwa mlango wa nyuma hawajambo kimataifa ingwa kwa mambo ya ndani ni wakali wenye panga la makali kuwili.
 
China matapeli tu wanajifanya wana sera za ujamaa halafu pesa yote wameweka USA!!!. Kama hawapendi mfumo wa kibepari ni kwanini wanaweza $1Trillion USA??. Wanadanganya nchi masikini kuwa wenyewe ni wa jamaa hii si kweli ni ujamaa wa uwongo tu na mbinu za kukaa madarakani milele lakini kiuchumi wameanza kuleta maendeleo walipofuata sera za kibepari.

Kuna tatizo kubwa la ufahamu hapa. Loooooo !!!!!!!
 
Watembeza bakuri tu hawa sasa Nchi iko na hali tete wao wanasafiri na kujilipa per diem tu.
 
Back
Top Bottom