Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Kwa hiyo ulitaka chama kiwe na wanachama gani manake sasa kila kitu kikifanywa mnakosoa ,
Leo mnasema mwenyekiti anavaa koti moja kesho majina makubwa yakianza kujiunga mnasema wanataka ubunge ,... tutafika kweli???
Kwanza jifunze kusoma na kuelewa. Wapi nimesema anataka ubunge?
Tunachotaka ni wanachama wote kuwa na hadhi sawa, sio wengine kupewa upendeleo kwa kuwa ni watoto wa watu wenye kujuulikana
Hadi muda huu CHADEMA kama CCM imeshindwa kuonyesha kuwa wanachama wote wanahadhi sawa, badala yake inaonyesha watoto wa waasisi wa chama au watu mashuhuri kwenye jamii kuwa wanapema kipaumbele
Ndio haya, mtoto wa Kambona kaanzishiwa thread, sio kwa merit yake, ni kwa sababu alibahatika kuzaliwa na Kambona
Chama kinafanyiwa marketing kama kampuni ya kibiashara. Hao wanaotumika wakidai malipo kama ubunge mtawezaje kukataa?