PICHA: Mtoto wa Oscar Kambona ajiunga na M4C, wengi wajiunga

I don't think so because not every CHADEMIAN is like that. The honorable Jasusi, for one, is not like that all. So it's very unfair for you to lump him up with the likes of Chilisosi or Haki Ngowi.

That's all fine and dandy but the focus has to be well-placed and not misplaced as is the case here.

The act you are talking about has nothing to do with this thread. That's why I say your chastisement is misplaced.

Beware anytime you hear anybody saying "has nothing to do with...". A dangerous unashamed reductivism.

Usually it means they haven't done their homework and do not know that we are all bound up together, and everything - as in anything- has something to do with everything, hence "everything is everything".

The act has everything to do with this thread because it is one of the themes of the thread.

CHADEMA, tuonyesheni vijana wenye merit fulani wanajiunga nanyi, ili hata sie tusio na vyama tuwazue.

Kama mambo yenyewe ni haya ya "mtoto wa Kambona" tu, tutaona hii ndio version yenu ya "mtoto wa Malecela" na "mtoto wa Makamba".

Kifupi, hamna kipya, no originality.

Sad for "chama mbadala"
 
Okay...

Good thing you said 'usually' and not 'always'.

Mtu mmoja (tena atumiaye jina bandia) kuanzisha mada humu kuhusu Neema Kambona isiwe nongwa. Ingekuwa mwakilishi wa chama kama Mnyika au Nape hapo ningeelewa.

Kilichopo hapa sasa hivi ni overzealousness tu.
 
Tatizo letu si overzealousness, tatizo letu hatuna oriented zeal ya kutosha.

Muanzisha mada ni surrogate wa CHADEMA, blog iliyotoa habari ni ya surrogate wa CHADEMA, hata sina haja ya kumalizia "walks like a duck...."

Moreover,

It's not about any person, it's about the act. CHADEMA or CCM.

This time it just so happen that it's CHADEMA's surrogates luck to fall under the wrath of the math.
 
Kwa hiyo kosa la muanzisha mada ni lipi - kuandika kwenye kichwa cha mada kuwa "Mtoto wa Oscar Kambona ajiunga na M4C" ama?

Na wapi inasema kwamba muanzisha mada ni surrogate wa CHADEMA? Na nini kinakufanya useme Haki Ngowi ni surrogate wa CHADEMA? Au unamjua Haki Ngowi personally?
[h=2][/h]
 
Mbona hiyo mikono hawaachani sasa? Halafu kwanini Kambona alitimuliwa na Mwalimu lakini leo Chadema wanamkubalia mtoto wake uanachama kiurahisi hivyo.

Radhia Sweety,

Your name sound so sweety lakini kauli zako siyo sweet hata kidogo.Nakushangaa unalalamika ati mbona hawaachani mikono??!!!Hii ni picha mnato bana sasa ulitaka iweje? Kwa mtazamo huo naona wewe una lako jambo. Hilo ni moja lakini pili nakuomba uachane na mawazo mgando! Marehemu Kambona hakutimuliwa na Marehemu Nyerere baali alimua mwenyewe kukimbilia ughaibuni(UK) baada ya kutofautiana na Nyerere kisera katika kuongoza nchi hii. Nyerere aliamua kukumbatia UJAMAA akifikiri kwamba ungeipeleka Tanzania alikokuwa anafikiri lakini ikashindikana. Kambona alitaka UBEPARI ambao leo hii ndiyo tunaendelea nao baada ya Ujamaa ku-prove failure!

Ndiyo maana Kambona alipotaka kurejea Tanzania miaka ya 90 kukiwa tayari kumeanzishwa sera ya Vyama vingi serikali wala haikumzuia. Kambona alikuja na akaanzisha TADEA na ikasajiliwa sina hakika kama hicho chama kipo hai. Kwa hiyo siyo sahihi kumlaumu binti wa Kambona kujiunga na CDM maana ana haki kama Watanzania wengine kujiunga na chama chochote cha siasa. Kumbuka kuwa baada ya kuanzishwa kwa vyama vingi Nyerere akiwa hai mtoto wake Nyerere Bwana Makongoro Nyerere alijiunga na chama cha upinzani cha NCCR na wala Nyerere hakugombana na mwanae kwanini kajiunga na NCCR badala ya CCM!

Hata wewe kama baba yako leo yuko CCM una ruksa ya kujiunga CHADEMA.

Try to think big!
 
Makoye naona unarusha makonde kama bondia makoye.
Umemjibu vizuri sana switi.
Kama vile watanzania wengi wanaishi nje ya nchi kwa sababu wamekimbia ukali wa maisha nyumbani na ukosefu wa demokrasia ya kweli na huru ndio maana wako nje.
Sasa wameamua kufungua na huu ni mwanzo
 
Oscar Kambona ni nani tena? maana kwenye siasa za bongo sidhani kama ana impact, mimi nilidhani ni mtoto wa makamba, au bado mko miaka ya 47?
 
Hivi inawezekana kumpa uanachama raia wa Uingereza katiba ya CDM inasemaje tusaidiane wanasheria wetu kina Tundu Lissu, Mabere Marando, Prof Safari.
 
Oscar Kambona ni nani tena? maana kwenye siasa za bongo sidhani kama ana impact, mimi nilidhani ni mtoto wa makamba, au bado mko miaka ya 47?
Akili finyu,
kwa hiyo mpaka awe mtoto wa gamba ndio uone umuhimu?
 
Binti Wa Oscar Kambona Ajiunga Na Chadema...

Mwenyekiti wa Chadema UK Chris Lukosi akimkabidhi kadi mwanachama mpya Neema Kambona, mtoto wa mwanasiasa mkongwe Mzee Oscar Kambona, shughuli hii fupi ilifanyika Leo Barking baada ya Watanzania wengi kuamua kujiunga na M4C. Picha na Maelezo: Chadema UK
souurce mjengwa blogg
Kutoka Tawi la Chadema Nchini Uingereza:Mtoto wa Mwanasiasa Mkongwe Nchini Mzee Oscar Kambona Ajiunga Chadema

Written by haki | // 0 comments

photo%25281%2529.JPG

Mwenyekiti Chris Lukosi akimkabidhi kadi mwanachama mpya Mchungaji Mathew Juttah

source hakingowi

It is a very good move lakini najiuliza haya matawi ya CDM huko ughaibuni yanaendeshwaje? Hayako chini ya Kurugenzi za chama zilizoko hapa nchini? Kama ndivyo (Na kwa hakika ndivyo ilivyo kwani mara kadhaa tumeona viongozi wa kitaifa wakiyatembelea) ni kwa nini habari kama ambayo naiona ni kubwa na yenye kustahili uenezi (publicity) wa kutosha mbona inaachwa inagaragara chini hivi?

Nadhani Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya CDM (I hope Makene/Mnyika mpo) mfikirie jinsi ya kucoordinate hizi habari zinazotoka kwenye matawi ya ughaibuni.Zisiishie kwenye mitandao ya kijamii tu bali ziwafikie watanzania wengi zaidi.Nadhani kuna udhaifu fulani katika hili. Mara nyingi viongozi wa kitaifa wamekuwa wakienda nje kueneza M4C lakini habari na picha zimekuwa zikiishia kwenye mitandao tu. Ni wazi Idara hii haijajipanga vizuri katika hili.

Mathalan habari hii ya Mtoto wa Mzee Oscar Kambona kujiunga na CDM kama ingetazamwa kwa jicho la tatu ingetengenezwa vizuri na picha zake ikaleta impact kubwa sana kwa CDM. Idara ya Habari na Uenezi ni idara muhimu sana katika kukipa uhai na kukifanya kiongeze idadi ya wanachama.

Am out.
 
"Historia inaonesha harakati za ukweli hazifanyikii movenpick wala kwenye hoteli yoyote ya kifahari,hufanyikia chini kabisa kama mashambani,vijiweni huko ndiko walipo watu wenye kiu ya mabadiliko,na ukiwadharau hawa ipo siku utalia na kusaga meno.sehemu unazotaka hizi harakati zifanyikie huko hufanyika harakati za kifisadi kama kutia saini mikataba ya wizi wa rasilimali na dili za wizi"

Nimekugongea like....nilitegemea kupata jibu kama hili kwa watu wenye mawazo mgando...Great thinkers at work!!!!
 
oscar kambona ni nani tena? Maana kwenye siasa za bongo sidhani kama ana impact, mimi nilidhani ni mtoto wa makamba, au bado mko miaka ya 47?
wewe nazani unataka nipate bani hapa
 
hata kijana wa idd amin dada ana urafiki mkubwa na familia ya mwalimu unalijua hilo?
wakati vita ya TZ na UG baba zao ndio walitiliana sign????????????????
tumia muda kushauri mambo ya TIJA na siyo kila wakati kuwa na POINTS mbovu almradi
umeitolea mapovu CDM.
 
Kati ya Familia ambazo zimesacrifice zaidi kwenye kupigania demokrasia na uhuru wa mawazo nchi hiii ni familia ya Oscar Kambona.
Huyu alikuwa rafiki kipenzi wa Mwalimu na hata Mwalimu ndiye alikuwa best man wa harusi yake na.mkewe alipomuowa..miss tanzania wa miaka hiyo ..harusi ilifungwa London.urafiki kwa sasa unaweza sema ulikuwa kama wa JK na lowassa

Katika kilele cha urafiki wao alimsaidia Mwalimu...asipinduliwe wakati wa maasi...mawaziri wote walikimbia akabakia...yeye mwenyewe kujadiliana na..askari

Baada ya kuzuia yale mapinduzi wenzake kama...Rashid Kawawa walianza...kumgombanisha na mwalimu

Mwaka 1967 alipingana na mwalimu kwenye kuanzisha AZIMIO LA ARUSHA ...ikabidi akimbie nchi...Na kuacha mali zake na ndugu zake ambazo zilichukuliwa na serikali na ndugu zake kutiwa misukosuko.
 
As usual Mzee Kawawa a convenient scapegoat bila hata kaushahidi fulani! Acha hizo mkubwa sasa wewe.
 
Back
Top Bottom