Tukisema Elimu ya Tanzania CCM wameipeleka ICU wanafiki wanakataa na kuleta siasa kwenye Elimu.Mtihani wa utimilifu (mock) Darasa la saba mkoa wa Mwanza uliofanyika mei 21 na 22,2014 ulitolewa kwanza kwenye gazeti la Elimu haina Mwisho linalotolewa na kituo cha kisomo cha Taifa Mwanza.Magazeti hayo yalisambazwa mashuleni wiki moja kabla ya mtihani huo kufanyika.Tunaposema Kawambwa ni mzigo analindwa kwa undugu wa mzee wakaya wanaccm wanabisha.Mtihani huo pia swali la 32,25,na 27 hayakuwa na majibu.Mungu tunakuomba CCM washindwe uchaguzi wa 2015 chadema washinde aminaaaaaaaaaaaaa.