Picha: Mtangazaji wa TBC1 uso kwa uso na KUB

Zisome sms zao.............
Mshana ''kwa kumuhoji Mbowe umeivua nguo bajeti,unatakiwa ufike ofisi za TBC Dodoma kwa ajili ya mahojiano ya kina''
Mdada- ''sawa bosi ila sikujua kama ni Mbowe, nimekuja kushtuka tayari keshafunguka''
Kwi kwi kwiiiii....(Ni heri kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti:By Kamanda Lema)
 
Kwa hiyo baada ya mahojihano akatembea kwa miguu kwa hasira au akapanda lile shangingi?
 
Kwa hiyo baada ya mahojihano akatembea kwa miguu kwa hasira au akapanda lile shangingi?
Buku saba eti work...nepi si yupo arachuga?nani atakulipa?Yaani magamba mna mapenzi ya hovyo sana hata mkiambiwa mle ma...i mtakula kisa ni kukilinda chama mfu masisiem....
 
Ukweli unauma

nadhani wewe hata hujui nini kinaendelea tangu mwaka 2000 bajeti inayosomwa ni ile ile tofauti ni tarakimu tu. unalijua hilo? nakushauri soma bajeti kama ya kenya ndipo utajua bajeti yetu haina jipya. hebu soma hiyo attachment hapo chini ya Kenya halafu linganisha ni mipango yetu.
 

Attachments

  • Budget Options _ 27th March 2013 Final (1).pdf
    3.1 MB · Views: 54
CCM imeamua kuwaua au kupunguza upinzani kwa kuondoa motor vehicle license ya pikipiki za mchina,kwani zinawaua sana vijana, na vijana wanataka mabadiliko
 
Mkuu Mingoi Mbowe anauwezo mkubwa kuliko mawaziri wengi wa serikali hii ingawa hana uzoefu wa kuongoza wizara. Najua huwezi/hamuwezi kukubali ila huo ndio ukweli. Angalia alivyo weza kuongoza kambi ya upinzani mpaka Bunge sasa linaonekana kama bunge la wananchi licha ya mizengwe wanayofanyiwa.
mkuu umenena kwa hekma kubwa. hongera sana kiongozi
 
BAVICHA kwa fikra za kibavicha-bavicha na placebo wanaongoza.

Sasa hapo ndiyo amejibu nini cha maana kiuchumi zaidi ya maneno ya kisiasa ambayo kwa mawazo ya kibavicha wanafikiri ni majibu mbadala ya swali lililoulizwa.

Usije ukashangaa utakapo msikia Mh. Mbowe akisema tena, CHADEMA haijatoa tamko kuhusiana na bajeti kwa sababu wataalamu wao wa kiuchumi kwanza wanaipitia neno kwa neno. Tusubiri tamko la waziri kivuli wa fedha.

Get used. Huyu ndiyo Mh. Mbowe na kauli zake za kinyonga.
 
Wakati mbowe anahojiwa alinifurahisha sana na staili alivyokua anamsikiliza yule dada kwa kuweka sawa unadhifu wake na baada ya maswali alifunguka kiukweli kitu kilichomfanya yule dada abadili mwelekeo akawa anawafuata maccm pekee yao, akina magreth sita, jenista mhagama na wengine

Viongoz wa aina hii (kama mbowe) ndo tunawahtaj nchin mwetu sio washabikiaj wa chama kama walivyo wabunge wengi maccm
 
Bavicha kwa fikra za kibavicha bavicha na placebo wanaongoza.

Sasa hapo ndiyo amejibu nini cha maana kiuchumi zaidi ya maneno ya kisiasa ambayo kwa mawazo ya kibavicha wanafikiri ni majibu mbadala ya swali lililoulizwa.

Usije ukashangaa utakapo msikia Mh. Mbowe akisema tena, CHADEMA haijatoa tamko kuhusiana na bajeti kwa sababu wataalamu wao wa kiuchumi kwanza wanaipitia neno kwa neno. Tusubiri tamko la waziri kivuli wa fedha.

Get used. Huyu ndiyo Mh. Mbowe na kauli zake za kinyonga.
Gamba upoo?kampeni zinaendaje arachuga?Yule salia demu vp nae ashapata jipya la kuwaeleza wananchi au bado ni promo kwa Chadema tu?Kapokee buku saba uende choo bhana...
 
Mungu akuongoze Mwenyikiti wangu Freeman Mbowe, kazi unayofanya kubwa kamanda.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Halafu kwa nyuma pale namuona rais mtarajiwa kamanda zitto zuberi kabwe....magwanda wanatisha harafu hawana vitambi
 
attachment.php


Baada ya uwasilishaji wa bajeti ya sirikali jioni hii mtangaji wa tibisisiem alikuwa akiwahoji wabunge mbalimbali kuhusu maoni yao juu ya bajeti hii.

Katika pita pita yake kakutana uso kwa uso na Kamanda wa anga Mh.Freeman Mbowe na mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo:

Mtangazaji: Mheshimiwa unaonaje kuhusu bajeti hii ya sirikali ya magamba na nini maoni yako?

Kamanda Mbowe: Bajeti hii haina jipya kama ilivyo kawaida na wabunge wa chama cha mapinduzi wamekuwa wakishangilia sana bajeti bajeti hii ambayo haina chanzo kipya cha mapato zaidi ya ya vile walivyozoea kama sigara,bia,mvinyo,mafuta na ushuru wa magari wakati sekta kama madini, utalii na vinginevyo vikiachwa au kuonekana vinachangaia kidogo sana pato la taifa.

Kwa mfumo huu hali ni ngumu sana na haiwezi kumkomboa mwananchi wa kawaida.....

Wadau angalieni vizuri hiyo picha na nimemuona kama mtangazaji anataka kukimbia kwa nondo zile alizoshusha kamanda na alichanganyikiwa ghafla magamba yakiambiwa ukweli...huu utumwa mpaka lini tibisisiem?

Nawasilisha kwa maoni zaidi.....

kamanda anazungumza facts,siyo hawa ccm wananafiki wakubwa.
spika:WANAFIKI WASEME NDIYo
Maccm:Ndiyooooooooo!
 
Hajataka kukimbia ila alikuwa anamsaidia mh mbowe atizame camera vzr maana macho ya mh yote ni ya kushoto ni taabu sana kwa digital camera kupata picha nzuri

Acha upuzi. Natamani ningekuona uso kwa uso nikuone ulivyo perfect. Mimi nilikuwa ninaangalia alipokuwa anamhoji and there was nothing unusual. Infact KUB was was not the only one.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kikwete ameendeleza utamaduni wake wa kuwachinjia baharini common wananchi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hajataka kukimbia ila alikuwa anamsaidia mh mbowe atizame camera vzr maana macho ya mh yote ni ya kushoto ni taabu sana kwa digital camera kupata picha nzuri

mshukuru ww kwakutokua na kasoro kama hyo. Hujafa hujaumbka usishangae kesho ukpata ajali na kuwa kpofu
 
Back
Top Bottom