Picha - Mswahili anapofikiri gari haina limit ya kubeba misigo

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,896
551159_421720367879633_332005389_n.jpg


Hata hili linahitaji darasa?
 
Hapa umeniwacha hoi. Hii picha ya mwaka!!!

Mimi mwenyewe nimeduwaa kana kwama ni movie kumbe ndiyo hali halisi ilivyo, si jambo la kawaida, labda mwenye gari hakuwepo, vinginevyo hayo yasingetokea.
 
nyie mlitakaje, abebe kichwani? kafanya poa tu, kwani ina roho ?

Wasema hivyo haya kuhusu, ingekuwa gari lako ungeongea tofauti na hilo, lakini mie naona huruma kwani chombo hicho ni ghali kukipata, sitegemea mzigo huo kwa mara moja utamwinua kipato zaidi ya kuliua gari na gharama za kununulia vipuli
 
Mwenye gari akisema ataambiwa "hivi kwenye magari na hili nalo gari!"
Ubinadamu kazi!
 
Mwenye gari anategemea kuongeza lingine kutokana na hiyo dili,ameanza kama wiki 3 zilizopita..bahati mbaya sana hapo ndiyo matrafik wamemshika.
 
Back
Top Bottom