hata kwenye mapromotion ya kutangaza salama condom dume watu wanajaa,sasa kwa akili yako hiyohiyo ndogo jiulize,waavutiwa na condom? au wanafwata mkumbo tu?CDM wanajiuwa wenyeme kwa kukumbatia UKANDA.
Yule mwenyekiti wa matawi ya chadema mwanza ameiona hii picha
DR. Slaa: ''Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria''napongeza juhudi za CDM kwa ukombozi wa wananchi
Nimeona watu wameweka picha lakini si za kutosha na ilikuwa ni kabla ya Mbowe hajafika na zingine watu walikuwa hawajafika wote,cheki hizi hapa na matukio yote kwa ujumla katika picha,ilikuwa nzuri sana watu nyomi,ulinzi wa kutosha na wasomi kibao,hakuna cha watoa matamko wala nini
View attachment 127042View attachment 127042View attachment 127043View attachment 127043View attachment 127041
hapa ni kwao na ZITO