Picha Mkutano wa Lowasa Arusha


enzi za kulakula hela ya umma zilishapita.bunge lijalo litakuwa kali sana
 
EATV wako (live) hewani kupitia TV two kutoka Arusha
 
ITV LIVE safari ya huzuni kwa mbunge wa monduli
 
Nchi hii tulikofika ni heri huyo anayepewa na wenzake,kuliko serikali inayofilisi mifuko ya pensheni
na kuishia kututungia sheria za kuzuia hela yetu mpaka tustaafu na miaka sitini,huku wakijua
si wengi wanafika huko wakiwa na nguvu.
 
nawaona tibaijuka, bashe, mahanga, mulugo, balozi mwapachu ndani duh huyu jamaa akikosa sijui
 
Natamani mwenye picha za msafara wa kuingia uwanjani
na nyinginezo,atuwekee hapa
wengine tuko kibaruani.
 

mwigulu kaenda chuo gan kutangaza nia wakuu?
saa ngap?
 
Duu huyu jamaa ni mtu wa fedha kafanya watanzania tumsahau kuwa huyu ndo richmondi..daa pesa ni hatari kwa ustawi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…