PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

Walisema na kujiapiza kuwa Chadema haiwezi kukubarika kusini....lakini wanachokishuhudia hapa leo hawawezi amini
machoni mwao. shame on them

Hata Mrema aliwahi kuteka kila kona za Tz, akawa anabebwa kama maiti na gari lake likawa linasukumwa kilometa nyingi. Wote huo ulikuwa ni usanii na mwisho wa siku wa Tz walipiga kura kwa chama makini, Mangi akala mweleka wa mende, akabaki na mshangao.

Wimbi la sasa la CDM halina tofauti na vuguvugu la Mrema, ni usanii fulani, harakati fulani. Uchaguzi ukija itakula kwao na wataishia kusema 'uchakachuaji wa kura, tumeibiwa, bla bla....nye nye nye'...upuuzi mtupu.

Endeleeni kujidanganya.
 
Biashara ya Wachagga. Mbowe anaonekana katoa jicho kwenye noti iliyoshikiliwa na mzee maskini muuza korosho. Chairman Mbowe hana huruma pamoja na yeye kuwa na mahoteli na danguro la Bilicanas.

Hivi ni kazi ya chairman kushiriki moja kwa moja kuwakamua wakulima maskini? kwanini kama ni lazima kuwakamua asiwaachie wengne? Inaeleweka kuwa chalii Lema ndo anaiweza vizuri hiyo kazi ya kudhulumu - au hawaaminiani?

Wewe! Kajisaidie kwanza ndo urejee hapa kwenye jamvi maana naona umebanwa na haja zote mbili.
 
One day, Just one day.................................... we will be there to witness.
Mungu Tusaidie
 
Hata Mrema aliwahi kuteka kila kona za Tz, akawa anabebwa kama maiti na gari lake likawa linasukumwa kilometa nyingi. Wote huo ulikuwa ni usanii na mwisho wa siku wa Tz walipiga kura kwa chama makini, Mangi akala mweleka wa mende, akabaki na mshangao.

Wimbi la sasa la CDM halina tofauti na vuguvugu la Mrema, ni usanii fulani, harakati fulani. Uchaguzi ukija itakula kwao na wataishia kusema 'uchakachuaji wa kura, tumeibiwa, bla bla....nye nye nye'...upuuzi mtupu.

Endeleeni kujidanganya.

Hivi Malaria Sugu yuko wapi?
 
Naam; nchi ile ya Kusini; katikati ya mito ile mikuu na bahari kuu. Watu wale walioishi katika hofu kuu chini ya utawala wa joka yule; akiwanyima haki yao ili kuwageuza mtaji mkuu wa utawala wake; hakika nuru kuu imewazukia nyakati hizi za mwisho za utawala wa ibilisi yule. Furahini, shangilieni, na mrukeruke kama ndama afurahiavyo chuchu za mama yake.

Hivi leo mkighairi na kuzikataa hila za yule joka hakika nitaibariki nchi yenu, na watoto wenu, na vizazi vyenu vyote; Je, sikuwapa urithi wa ajabu ndani ya ardhi yenu wenyewe? Ya nini sasa kulia njaa na taabu wakati vyote nimewapa? Au, mliamua kumkabidhi yule joka na wafuasi wake waamue kwa ajili yenu? Badilikeni sasa mpate nanyi kuwa watu katika mataifa. Hakika aliyeumba kike na kiume yu upande wenu.
 
akiona Nape atasema watu wenyewe hata mia hawafiki kisha mnasema eti umati anasahau kuwa huko ni vijijini

Asante m4c
 
jamani nyie CCM muwe makini hii M4C ya chadema, hii kitu iko so serious umaarufu wenu vijijini umeisha CHADEMA kawakamata hata uko.
msiifananishe CHADEMA na umaarufu bandia walokuwa nao CUF pia ule wa mrema na NCCR yake, nawatkia CCM mREST in PEACE mwaka 2015 kwani mtazikwa rasmi
 
Nina hakika hizi picha Magamba Zinawatia kichefuchefu Hawataki kuziona Hongera kamanda M4C Daima
 
Rejao na ritz hapa Kama kituo cha polisi wanaonekana Mara chache sana

Endeleeni kuhangaika na uharakati wenu. Mwisho wa siku sisi ndio tunaendelea kuishikilia dola. Haya mambo yapo miaka yote, but CCM imeendelea kutawala. Endeleeni kujifariji hapa JF
 
CHADEMA kupata mwenyekiti kama Mbowe ni kulamba dume, nasikitika sana aliposema hataki tena kugombea uenyekiti kwa kipindi kijacho yaani 2013. Nadhani ni makamanda bora CHADEMA iliyopata kwa miaka ya karibuni.
 
Endeleeni kuhangaika na uharakati wenu. Mwisho wa siku sisi ndio tunaendelea kuishikilia dola. Haya mambo yapo miaka yote, but CCM imeendelea kutawala. Endeleeni kujifariji hapa JF
Rejao nakupongeza sana kwa ujasili wako! unakufa huku unashangilia kama zuzu!
 
Back
Top Bottom